Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Nahitaji maelezo ya kimaandishi kesho kabla ya muda wa mwisho wa saa za kazi
Swahiba naona mapaparazi wameanza kazi.

Taarifa itakuwepo kikubwa tuendelee na kazi yetu ya kuwapeleka kinyume na matakwa yao
b7ceee0fb46202fe08276e68194ee059.jpg
 
Nina shida basi. Shida yangu ni kukukaribisha halafu ujifanye mwenyeji kunizidi.

Mwenyewe ndiyo nimejua jana mzee hii couple nilikuwa sina taarifa nayo. Ila huwa sisusi.

Ha ha ha mzee ntafungua duka af ntakuwa maarufu kama mpemba vileee

Ha ha ha kususa najua huwez ili ki uhalisia ni kwel ulikua huijuiii???
Kuna vitu unasingziwa sio vya hv mzee
 
Back
Top Bottom