Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,937
2,000
Kama ulikuwa unadhani kuwa Couple ambayo inatishia tu amani humu JF ni ile ya The bold na Nifah pekee utakuwa umekengeuka / umepotoka kabisa kwani kwa siku za hivi karibuni kumeibuka Couple mpya ambayo kwa Kasi yao ya Kiupendo na Mahaba inaweza ikaipiku hiyo ya hao akina Baby The Bold na Baby Nifah.

Couple hii si nyingine bali ni ya hawa Members wapendanao kabisa Daby na mwenzake Valentina. Kwa taarifa za chini chini zinasema kuwa huenda hii Couple ikaipiku hiyo Couple nyingine na wakafunga Ndoa kabla yao kwani Mapenzi / Mahaba yao kwa sasa yamefikia katika hatua isiyovumilika tena.

Ukiwa kama Member uliyetukuka kabisa wa JF si vibaya na Wewe ukaitakia hii Couple mpya ya Daby na Valentina kila la kheri katika harakati na mipango yao ya kufunga pingu zao za Kimaisha na wote tuhakikishe tunahudhuria hiyo Harusi yao tafadhali.

Nawasilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom