Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

Yaani wewe ndio mjinga unaebisha kitu ambacho hujui.

Kuna watu wengine naona upumb*** ni asili yenu.
Really?
We jamaa mbona unabisha vitu ambavyo hujui? Anyway wapuuzi kama wewe ni wakupuuza.
Seriously?
Inaonekana hata Comoro hajawahi kufika
Ni kweli na wala sina mpango wa kufika huko, route zangu ni Sheghen countries and UK.
Nchi ambazo Mtanzania Anakwenda bila ya Viza



Tumeona ni vyema tukusogezee orodha ya nchi 57 ambazo Mtanzania mwenye pasipoti ya kawaida anaweza kusafiri ama kutembea bila ya kuomba viza;


Nchi Masharti ya Viza Muda
Antigua and Barbuda Huhitaji kuomba viza
Bahamas Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Bangladesh Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Barbados Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 6
Belize Huhitaji kuomba viza
Benin Huhitaji kuomba viza
Bolivia Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Botswana Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Burundi Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Cambodia Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Cape Verde Viza unapata utakapowasili
Comoros Viza unapata utakapowasili
Democratic Republic of the Congo Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 7
Djibouti Viza unapata utakapowasili
Dominica Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 6
Ecuador Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Fiji Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 4
Gambia Huhitaji kuomba viza
Ghana Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Guinea-Bissau Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Haiti Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Indonesia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Iran Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Jamaica Huhitaji kuomba viza
Kenya Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Laos Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Lesotho Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Madagascar Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Malawi Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Malaysia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Maldives Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Mauritania Viza unapata utakapowasili
Mauritius Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Micronesia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Mozambique Huhitajiki kuomba viza
Namibia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Nepal Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Nicaragua Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Palau Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Philippines Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Rwanda Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 6
Saint Kitts and Nevis Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Saint Lucia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa wiki 6
Saint Vincent and the Grenadines Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa mwezi
Samoa Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 60
Seychelles Kibali cha utalii utapata utakapowasili Kwa muda wa miezi 3
Singapore Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
South Africa Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
South Sudan Viza unapata utakapowasili
Swaziland Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Timor-Leste Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Togo Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siiku 7
Tuvalu Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa mwezi 1
Uganda Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Vanuatu Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Zambia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Zimbabwe Huitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3

Matola
Need i say more?
Kuna watu ni viazi Sana.
Ukifika Comoro mbambo ni tofauti na mnavyo soma huko mtandaoni.

Narudia tena, Viza ya Comoros lazima uombe kabla ya kuanza safari huo ndio uhalisia.

Nakuwekea na kilelezo kabisa. Kama una akili itawkewa kuwa unabisha kitu ambacho huna experience nacho. View attachment 1998588
Endelea Kubisha sasa
Hata wazungu wanaokuja Tanzania wana hiyari ya kuomba viza kwenye balozi zetu kwenye nchi zao, au viza on arrival airport, hujuwi kitu takataka tu.
Acha kumjibu huyo Matola. Ni chizii flani anayejifanya anajua kila kitu.
Hakuna anayejiuwa kila kitu, ila huwezi kunidanganya vitu vidogo sana kwangu kama hivi.
Nimeanza kusafiri wakati Uingereza Watanzania tulikuwa tunaingia kwa entry tu airport hatukuwa tukiomba viza ubalozini kabla Wapemba hawajatuharibia mwaka 1995 na CUF yao.

Ndio sembuse Comoro nchi ambayo naamini bado swala la choo kwa kila nyumba bado mtihani ndio wawe na condition hizo?

Je una lingine?
 
Really?

Seriously?

Ni kweli na wala sina mpango wa kufika huko, route zangu ni Sheghen countries and UK.

Need i say more?

Hata wazungu wanaokuja Tanzania wana hiyari ya kuomba viza kwenye balozi zetu kwenye nchi zao, au viza on arrival airport, hujuwi kitu takataka tu.

Hakuna anayejiuwa kila kitu, ila huwezi kunidanganya vitu vidogo sana kwangu kama hivi.
Nimeanza kusafiri wakati Uingereza Watanzania tulikuwa tunaingia kwa entry tu airport hatukuwa tukiomba viza ubalozini kabla Wapemba hawajatuharibia mwaka 1995 na CUF yao.

Ndio sembuse Comoro nchi ambayo naamini bado swala la choo kwa kila nyumba bado mtihani ndio wawe na condition hizo?

Je una lingine?
Sijawahi kuona mzee mjinga kama wewe.
Si ukubali tu kuwa hujui.

Eti enzi mnaenda uingereza.
Hivi una hata passport kweli?
 
1comorian franc=0.0023USD

Iyo thaman unayosema ni ipi mkuu
Kama umesoma vizuri ukaelewa, nilisema sielewi kwanini pesa yao ina thamani ukilinganisha na ya kwetu.

Kwa mfano 1000 ya Comoro ni almost 5400 ya kwetu ukiipeleka kwenye USD unapata ngapi?
 
Iko hivi Comoros ni nchi ya kitu kidogo rushwa na ubwanyenye ni mwingi sana.
Kwa hiyo hata mambo yanavyoendeshwa ni lazima uwe na connection ya kukushika mkono.

1. Nilishuhudi mtanzania akiharibiwa matikiti maji yake kisa kakosana na mamlaka.

2.Ukiwa mgeni ukiwekeza uwekezaji mkubwa huyo aliyekushika mkono anaweza kukufanya kitega uchumi pia.

3.Usafiri ni ndege tena ATC na kuna vindege vingine vidogo nimesahau majina

4.Meli ni kwa ajili ya mizigo, by the time niko kule kuna kampuni ilikuwa inafanya research ya kupeleka meli na hata JMT kupitia JWTZ walitaka kupeleka meli za mizigo.

5.Nchi haiko stable kisiasa, Rais wa madarakani ka edit katiba kaongeza muda, halafu kamuweka lockdown raisi wa Zamani Sambi.

6.Visa, zipo za airport ila mpaka uwe na justificative za wapi unafikia, kifupi jamaa hawako systematic, walishawahi kumzuia jamaa fulani pale airport aliletwa na kampuni.

7.Ukitaka kuona sisi JMT ni matajiri nenda Comoros.

8.Mademu wakali wengi ni wa Kianjouan wana kama mixer.

9.Comoros iko kwenye arab league.

10.Mtanzania unaitwa Mdarisalama

11.Moroni kwa hapa kwetu ni kama pale Rangi tatu
Kutoka Zakhem mpaka Charambe, kwa anayepajua jenga picha hiyo.

12.Fursa za biashara ni za chakula sana sana,zamani mpaka nyama
Mchele( maele),magimbi, ndizi, mayai hivi utauza,jamaa hawaujui ugali.
Watu wanapeleka mpaka ndimu.

13.Kilimo:Ardhi ya Grande Comoros sehemu kubwa ina mawe, kilimo labda kisiwa cha Mohel na Anjouan.

14.Wabongo wapo mpaka mama ntilie, mafundi simu, wauza maduka. Asilimia kubwa ni wazanzibar kutoka na historical back ground kwani kuna mpaka majina ya sehemu kufanana
Mfano ngome kongwe kule kuna Ngome kazi kama sikosei.

15.Lugha ni Chikomore na Kifaransa, Kiingereza chako utawapata wachache, hata mademu itakuwa shida, bora uongee kiswahili wanakuelewa kidogo.

16. Muunganiko wa watanzia upo ila haupo thabiti sana kwa kweli, kuhujumiana, majungu kibiashara kupo sana.

Inatosha hapa
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom