IInternational Criminal Court - ICC, itakuwa bega kwa bega kufuatilia mauwaji ya watu, utekaji nyara na Shambulizi la Mhe. Lissu nchini Tanzania.

mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,047
2,000
IInternational Criminal Court - ICCitakuwa bega kwa bega kufuatilia mauwaji ya watu na utekaji nyara nchini Tanzania.

Tunashukuru IInnocence Project kuunga mkono. Haki za binadamu zinaminywa sana. Mahakama za Afrika hazina Uhuru Wa kuhukumu

CCBS News
Jamani msameheni hadi huruma sasa atajielezaje? Manake hata kiswasukuma ni mihemko tu.Asamehewe jamani.
 

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,050
2,000
Hata Uhuru Kenyatta hakujua kuwa atakuja kushitakiwa kwa mauaji ambayo binafsi hakuwahi kushika bunduki.
Tumeweka rekodi sawa, Sikh magufuli anapokea ripoti ya makinikia alitoa kauli, ya kuruhusu mauaji kwa wanopingana na Sera zake,

alisema mkiwa vitani akotokea msaliti, hufanywa nini?. Tafsri yake ni kuwa ruksa kufanya mauaji. Hiyo stament inamui implicate direct kwenye jinai
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom