ii ngumi mkononi kura za maoni ccm inamaanisha nini mbeleni october? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ii ngumi mkononi kura za maoni ccm inamaanisha nini mbeleni october?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bona, Aug 2, 2010.

 1. bona

  bona JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kura za maoni kupata wagombea wa viti vya udiwani na ubunge kupitia tiketi ya ccm nchi nzima limegubikwa na matukio ya kustaajabisha ya uchawi, rushwa ya waziwazi ila kilichotia fora zaidi ni hali ya wapambe kutembezeana ubabe na ngumi mkononi waziwazi kana kwamba kila mgombea ndio mwenye haki ya kipekee kupata tiketi iyo, kuna baadhi ya maeneo kwa mda mfupi yaligeuka kama mitaa ya gaza, ii sijui inatupa picha gani kwani wagombea inaonyesha wamejiandaa kupata ushindi kwa njia yoyote ile hata kwa vitendo vya uvunjifu wa amani, kama ivi tu ni kura za maoni sijui tutegemee nini october!
   
 2. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ccm wategemee kuangukia pua.
   
Loading...