Igunga: Zahanati ya jumuiya ya wazazi ccm yafungiwa

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Timu ya wakaguzi kutoka wizara ya afya imeifungia zahanati moja wilayani igunga inayomilikiwa na jumuiya ya wazazi (ccm) kwa kutoa huduma za afya kwa kutumia kibali kilichogushiwa.

Source: TBC habari kwa ufupi 12.00PM
 
Kama ni kweli hiyo sio sawa, chama cha siasa kumiliki dispensary hiyo sio sawa ni namna ya kutoa rushwa kwa wananchi , iweje Chama tena kilichoko madarakani badala ya kutekeleza Ilani yao ya uchaguzi kupitia serikali wakamua kuanzisha hospitali ya jumuiya ya chama chao hiyo sio sawa waifunge haraka sana kabla hatujaandamana
 
Pia hali ya hospitali ya wilaya sio nzuri kwani timu hiyo kutoka wizara ya afya imegundua kuna mlundikano wa dawa zilizoisha muda wake hospitalini hapo.
 
Timu ya wakaguzi kutoka wizara ya afya imeifungia zahanati moja wilayani igunga inayomilikiwa na jumuiya ya wazazi (ccm) kwa kutoa huduma za afya kwa kutumia kibali kilichogushiwa.

Source: TBC habari kwa ufupi 12.00PM

Hapo pekundu pana jinai mbaya. Inabidi mambo yaende mahakamani.
 
Pia hali ya hospitali ya wilaya sio nzuri kwani timu hiyo kutoka wizara ya afya imegundua kuna mlundikano wa dawa zilizoisha muda wake hospitalini hapo.

Tusishangae vimelea vya wadudu vinapopata usugu na hatuponi tukitibiwa!
 
Nitajieni miradi ya maendeleo anayomilikiwa na ccm ambayo unaweza kuitolea mfano kuwa chama kina uwezo. Chama legelege huzaa serikali legelege, by J. K. Nyerere.
 
Hilo la kughushi vibali ni kosa kubwa sana, wasiishie kuifunga zahanati ya chama tu, waashikishe adabu na wale aliohusika kuchakachua vibali!
 
Back
Top Bottom