Igunga yawa kivutio kwa watanzania wote!

Nov 28, 2010
31
5
Ni ajabu na kweli, watanzania wote wanauangalia uchaguzi wa Igunga kama uchaguzi wa kitaifa, kwa sasa watu wanaangalia TV ili kupata updates za igunga na ikitokea taarifa inakaribia kuisha watu wanatukana kuwa hawatendewi haki kutokupewa taarifa za Igunga. Maofisini ndio gumzo, vijiweni usiseme, majumbani ndio issue. cha zaidi wanapenda uwe huru na haki.
 
Tatizo watu wengi wanatamani ccm washindwe na wanapooona upinzani nimkali wanahuzunika kwa kuona kama wanaigunga wanawaangusha wengi walipenda kuona cdm imemaliza kazi wiki kabla ya uchaguzi lakini msihofie mambo yako kwenye mstari na ushindi ni wa CDM nipo uwanja wa mapambano ccm imekamatwa kila kona na wanakabiriwa na shida yakukusanya watu kwani kila wanapofanya mkutano watoto ndio wanaojaa hicho kitu kinawaumiza kichwa sana kuona mikutano ya cdm watu wanakua wengi sana kwamambo yalivyo hapa igunga usishangae ccm ikawa ya tatu baada ya cuf
 
Inaonyesha kweli wewe upo Igunga, juzi juzi nilipita pale ofisi ya CCM Igunga nikakuta wameweka khanga, fulana kofia nyingi zikiwa zimedoda pale nje ya ofisi je zimekosa wanachama au vipi tujuze mazee,
 
Ni kweli kabisa. Matokeo ya Igunga yataweza kusaidia sana katika kutoa mwelekeo wa kisiasa nchini. Tuwaombe wakazi wa Igunga waitendee haki vizuri hiyo siku.
 
Ni ajabu na kweli, watanzania wote wanauangalia uchaguzi wa Igunga kama uchaguzi wa kitaifa, kwa sasa watu wanaangalia TV ili kupata updates za igunga na ikitokea taarifa inakaribia kuisha watu wanatukana kuwa hawatendewi haki kutokupewa taarifa za Igunga. Maofisini ndio gumzo, vijiweni usiseme, majumbani ndio issue. cha zaidi wanapenda uwe huru na haki.

Clouds FM wamemtuma Igunga Regina Mwalekwa lakini habari anazotuma ni upuuzi mtupu. Hizo habari za visima vya maji wangetuletea wakati mwingine - tunachohitaji kujua sasa hivi ni kuhusu Kampeni.
 
Ni ajabu na kweli, watanzania wote wanauangalia uchaguzi wa Igunga kama uchaguzi wa kitaifa, kwa sasa watu wanaangalia TV ili kupata updates za igunga na ikitokea taarifa inakaribia kuisha watu wanatukana kuwa hawatendewi haki kutokupewa taarifa za Igunga. Maofisini ndio gumzo, vijiweni usiseme, majumbani ndio issue. cha zaidi wanapenda uwe huru na haki.

Subiri uchaguzi uishe uone kama Igunga itasikika tena...
 
Visima vipi vya maji. Huku kuna malambo ambayo wanyama na sisi wanadamu mtindo mmoja. No tafauti!
 
Back
Top Bottom