Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
WOTE HAWA hawapewa wali, kwasababu wanajua wataharisha baada ya siku mbili na kuwa na njaa tena! Hawajapewa tshirts kwakuwa wanajua ni aibu kuvaa kuvaa vitu hivyo wakati wezi wa nchi wanavaa suti kali na kutembelea vx. Waangalie vyema. Wote wako tiyari kupigania haki zao. Wamenuna kama msoja. Wanandita zinazoonesha uelewa wa hali ya juu.
Mkuu shaka yangu si watu kujitokeza katika mikutano au kushambulia ila ni watu kujitokeza siku ya mwisho na kufanya maamuzi sahihi. Tuombe Mungu mambo yaende kama yalivyopangwa.leo tumefanya mikutano sita kwenye kata sita na chopa,pamoja na chopa tumeendelea na mikutano ya ndani,kimsingi tunashambulia kote kote
Hilo ndiyo neno nililotaka kulisema, uzoefu unaonyesha kuna mwitikio mzuri katika mikutano lakini siku ya kura wananchi hawaoni umuhimu wa kura zao na kupuuzia jambo ambalo ni hatari. Naomba hili lisitokee ili uchaguzi huu ili uvunje rekodi ya watu waliopiga kura.Mkuu kwa kweli inatia moyo. Ufanyike uhamasishaji wa mkubwa kuhakikisha kuwa umati huu unajitokeza kupiga kura. Isiishie tu kwenye kuishangaa chopa.
Safari hii nadhani Igunga itawagawa watanzani yaani jimbo limekuwa hot kama uchaguzi wa rais vile! Ikitokea upinzani umeshinda nitaomba gamba lingine lijivue aanze Lowasa kisha upinzani uchukue ile tunamaliza tu gamba lingine linajivua ambalo ni chenge. Ikitokea hivyo nadhani hazina itakauka kwa jinsi nguvu na rasilimali nyingi zitavyokotumika.kazi kazi mpaka kieleweke .. .
Duuuuh CCM wana kazi kweli nzikumbukz kauli fulani ya Mh. G. Lema aliposema wao wana fedha sisi tuna Mungu.Wamekuja na miguu yao hao hawajaletwa na matipa ya kubebea mchanga, kama wakina Nape wafanyavyo.
Tuko pamoja mkuu, tunaomba muendelee kuwadhibiti hao magamba.leo tumefanya mikutano sita kwenye kata sita na chopa,pamoja na chopa tumeendelea na mikutano ya ndani,kimsingi tunashambulia kote kote
Akhsante sana Mh Nanyaro,
ila kwa kweli imeniuma sana kuuona umma huu uliogubuikwa na umasikini umekuwa mteja wa CCM na mhindi rostam
muda wa kuzinguka ni huu!!! mimi na familia yangu tumewaweka kwenye maombi Chadema na Igunga. J2 nitatoa sadaka kanisani 10.000 kwa ajili ya kuiombea Chadema ishinde Igunga. pia amani iendelee kushamiri kwa kuwepo uchaguzi wa huru na haki. nintaomba pia Mungu AWAPOFUSHE WEZI WOTE WA KURA...
KILA LA KHERI!