Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Sasa hivi wanakaribia kutangaza.

Kuna mgombea wa CCM tu.

Msimamizi wa uchaguzi amemtangaza rasmi Dr. Kafumu kuwa mshindi wa uchaguzi huu

WAPIGA KURA WALIOJIANDIKISHA WILAYA YA IGUNGA 171019

Waliopiga kura kw jimbo zima 56072 sawa 33%

MATOKEO:

- CCM KURA 26,484 sawa na 47%

- CHADEMA 23,260 sawa na 41%

- CUF 2,104 sawa na 4%

- AFP 282 sawa na 0.5%

- CHAUSTA 182 sawa na 0.3%

- SAU 83 sawa na 0.1%

- DP 76 sawa na 0.1%

- UPDP 63 sawa na 0.0%


images
 
Vyama vya upinzani Chadema,Cuf,na vingine vingi viongozi wao hawaobekani kwenye eneo la kutangazia matokeo ya Uchaguzi tofauti na taratibu za Uchaguzi.
Source ITV
 
mda wowote kuanzia sasa itv watatangaza matokeo moja kwa moja kutoka igunga.kwa ufu
 
Bwana we hata mimi ningesusa matokeo gani ya jimbo lenye wapiga kura wasiozidi 60000 lichukue siku mbili kuhesabu ? kama sio ile ya ku-MASSAGE results.Inawezekana kweli CCM imeshinda lakini kwa mambo yanavyofanywa kienyeji hata raia wa kawaida wanaingia wasiwasi baada ya kuahidiwa matokeo yangetoka jana usiku.
 
Haya matokeo yametoka wapebdwa

1185 zilizoharibika
ccm watangazwa kushinda
 
Source: ITV/Radion One.

Baada ya vuta nikuvute hatimae, NEC imetangaza matokeo. Muda mfupi kabla ya matokeo kutoka viongozi wala mgombea wa CHADEMA na vyama vingine vyote hawakuwepo nje sehemu ambayo matokeo yalikuwa yasomwe. Watu waliotarajiwa kupiga kura ni 171,077 kwa mujibu wa daftari la wapiga kura mwaka 2010, huku vituo vikiwa 427, kata 26 na vijiji vijiji 78.
  1. Dr KAFUMU, Mbunge Igunga, kwa herini.
 
Back
Top Bottom