Elections 2010 Igunga: Nani kasema Rostam kaachana na siasa uchwara? Helikopta za CCM amezileta yeye

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Wakuu: Mnaona jinsi CCM wanatumia ufisadi na mafisadi kama mtaji wa kisiasa? Nani kasema Rostam Azizi ameachana na kampeni za hapo Igunga? Yumo hadi shingoni.

Zile helikopta mbili za CCM ni yeye ndo alizileta na kuzigharamia. Halafu alijidai anaachana na siasa uchwara! Thubutu! Tatizo ni kwamba ukishakuwa fisadi ndani ya CCM katika nchi hii, basi unakuwa mtumwa tu, utafanya kila kazi unayoambiwa bila kuuliza. lau sivyo........
 
Nami nimesikia kutoka kwa jamaa yangu aliye Igunga kwamba ni yeye RA ndiyo alizileta hizo helkopta za CCM!
 
amefurahi sana kusikia TANESCO wanamlipa hela za DOWANS hvo kaona sio iiiiiiiisshhhhu
 
Hivi kukodi Helicompta mbili kuna gharimu bei gani ukilinganisha na kiasi atakacholipwa na CCM kutokana na mkataba ya TANESCO? Nafikiri CCM wameamua kutumia kisingizio cha mkataba kumuwezesha Rostamu kukusanya hela ya kampeni mwaka 2015.
 
Baba yako akiachana na mama yako haiondoi wajibu wa yeye kukuhudumia kama kukulipia shule n.k.Hivyo Rostam alisema ameachana na siasa uchwara lakini alikiri kwamba ataendelea kuwa mwana CCM mwaminifu.Kama ni kweli yy ndie ametoa hizo helkopta basi ni wajibu wake maana mwanachama hawezi kukiombea chama chake mabaya,hajawa Shy-rose bhanji.Acheni wivu,nyie mbona mna Ndesa anawapa helkopta hatusemi? Au mnataka kusema ndesa pesa ni msafi?.Mbowe amekwisharudisha pesa ya penshen za wafanyakazi NSSF?
 
Wakuu: Mnaona jinsi CCM wanatumia ufisadi na mafisadi kama mtaji wa kisiasa? Nani kasema Rostam Azizi ameachana na kampeni za hapo Igunga? Yumo hadi shingoni.

Zile helikopta mbili za CCM ni yeye ndo alizileta na kuzigharamia. Halafu alijidai anaachana na siasa uchwara! Thubutu! Tatizo ni kwamba ukishakuwa fisadi ndani ya CCM katika nchi hii, basi unakuwa mtumwa tu, utafanya kila kazi unayoambiwa bila kuuliza. lau sivyo........

Hizo zitarudi kupitia 94bn/- za Dowans! When a fidadi always a fisafi!
 
Baba yako akiachana na mama yako haiondoi wajibu wa yeye kukuhudumia kama kukulipia shule n.k.Hivyo Rostam alisema ameachana na siasa uchwara lakini alikiri kwamba ataendelea kuwa mwana CCM mwaminifu.Kama ni kweli yy ndie ametoa hizo helkopta basi ni wajibu wake maana mwanachama hawezi kukiombea chama chake mabaya,hajawa Shy-rose bhanji.Acheni wivu,nyie mbona mna Ndesa anawapa helkopta hatusemi? Au mnataka kusema ndesa pesa ni msafi?.Mbowe amekwisharudisha pesa ya penshen za wafanyakazi NSSF?

Kwa hiyo sasa hivi Magamba yameachana na "siasa uchwara" baada ya lifisadi limoja (RA) kujivua gamba lililokwama kiunoni?
 
Baba yako akiachana na mama yako haiondoi wajibu wa yeye kukuhudumia kama kukulipia shule n.k.Hivyo Rostam alisema ameachana na siasa uchwara lakini alikiri kwamba ataendelea kuwa mwana CCM mwaminifu.Kama ni kweli yy ndie ametoa hizo helkopta basi ni wajibu wake maana mwanachama hawezi kukiombea chama chake mabaya,hajawa Shy-rose bhanji.Acheni wivu,nyie mbona mna Ndesa anawapa helkopta hatusemi? Au mnataka kusema ndesa pesa ni msafi?.Mbowe amekwisharudisha pesa ya penshen za wafanyakazi NSSF?

I can't biliv this postcomes from you, sasa ulivyyokuwa unalialia gamba gamba kumbe ulikuwa unawatapeli watanzania au kwa sababu umejificha nyuma ya hii ID basi unafikiri hujulikani?????? Aisee nyie vijana wa leo wa CCM na hizi siasa zenu mnatupeleka siko kabisa. Yaani mchana gamba usiku ahh! nilikuwa natania tu bwahahahah ahaha ahahaha!!!!!!!!!!! Rostam ndiyo kidume chenu huko CCM hahah ahahahahah.

Mkuu ubnatia aibu mno, si ni wewe juzi juzi ulikuwa unatuhumu watu kwamaba wametumwa na mafisadi ukuhujumu? Sasa iweje unawasifia tena wale uliowaita mafisadi?
 
Baba yako akiachana na mama yako haiondoi wajibu wa yeye kukuhudumia kama kukulipia shule n.k.Hivyo Rostam alisema ameachana na siasa uchwara lakini alikiri kwamba ataendelea kuwa mwana CCM mwaminifu.Kama ni kweli yy ndie ametoa hizo helkopta basi ni wajibu wake maana mwanachama hawezi kukiombea chama chake mabaya,hajawa Shy-rose bhanji.Acheni wivu,nyie mbona mna Ndesa anawapa helkopta hatusemi? Au mnataka kusema ndesa pesa ni msafi?.Mbowe amekwisharudisha pesa ya penshen za wafanyakazi NSSF?
Ni kama walivyo CCM na CUF hawaachani mpaka kufa, ndoa yao ni nzuri sana na hivi karibuni watapata mtoto.
 
Back
Top Bottom