Elections 2010 Igunga: Mwandishi wa Mtanzania atimuliwa na CCM na kutishwa

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Mwandishi wa gazeti la Mtanzania, Arodia Peter, ambaye amesafirishwa na kulipiwa na CCM Igunga, ametimuliwa na kutishwa na vijana wa ulinzi wa CCM katika mkutano wa chama hicho ulokua unahutumiwa na John Magufuli mjini Igunga, tofauti na ule wa Mkapa vijijini.

Mbali ya kumtimua mwandishi huyo vijana hao wamemtishia na taarifa kutolewa polisi RB GU\RB/1731/2011, Kimsingi wamesema wakimuona watamvunja.

Hiyo si mara ya kwanza kwa mwandishi huyo kupata kibano toka CCM na mwanzo ikiwa ni kuzuiwa kuingia wala kusogea ktk hoteli walipo CCM ya Peak.

Inaelezwa sababu kubwa ya mwandishi huyo kupewa kibano na CCM ni habari zake za msimamo ikiwamo kukamatwa ka viongozi wa CCM kwa kuvamia na kushusha bendera ya Chadema kabla ya kutaka kupigwa na wananchi.

Habari nyingine iliyowakera ni ile ya kusema ahadi za Magufuli ktk uchaguzi ni za kisanii ikiwamo ile ya Busanda. Na habari ya tatu ni ile iliyoelezea CCM kuteka wana chadema watatu.

Matukio yote hayo yalikemewa na viongozi wa CCM na polisi akiwamo Kamanda Mungulu na watu wa kitengo cha habari wa CCM, Daniel Chongolo na Gabriel Athumani na CEO wa New Habari, Hussein Bashe.
 
Kidumu Chama cha ma..............................

Duh !! Mkuu halisi nakuamini nawe kaa mbali maana najua watakuwinda sema hawakujui vyema .
 
Waache waumane...ni dalili ya kushindwa,makombora ya CDM yanawasababishia wakose njia kwa hiyo wanagongana wao kwa wao!!
 
Mbona enzi hizo magamba na habari corperation walivyokuwa dugu moja haya hatukusasikia?Kweli ccm haina sera ,wameona mambo mazito IGUNGA wanahaha walizoea kubebwa sasa hawabebeki
 
Ukweli una uma aisee leo wanamuona hafai wakati wao ndio waliombeba na kumtoa dar....sasa haki iko wapi hapo?
 
Gazeti la mtanzania si lipo chini ya mafisadi.sa kwanin wafukuzwe? Pumbavu ccm wameanza kusahau gazeti lao. Mengine ni uhuru na mzalendo. Na televishen ni tbc na clouds.
 
Kidumu Chama cha ma..............................

Duh !! Mkuu halisi nakuamini nawe kaa mbali maana najua watakuwinda sema hawakujui vyema .

wewe


DUMU1.jpg

hapoooo sasa

DUMU1.jpg
 
Kidumu Chama cha ma..............................

Duh !! Mkuu halisi nakuamini nawe kaa mbali maana najua watakuwinda sema hawakujui vyema .
Mkuu............usihofu kuhusu mzalendo Halisi..........
Signature yako imenifurahisha sana!!
Ujanja wa MaCCM ni kama ndege kwenda kasi na kubeba watu ila haiwezi kurudi nyuma bila kusukumwa
 
Si wangelinunua nakala zote zilizokuja Igunga au toleo la siku nzima si wangelipa?au ATM hazikusoma?wako wengi mno wangeto donation,hawa vibaka sana hawa magamba
 
Back
Top Bottom