Igunga: Mwananchi amuomba Rais Magufuli ‘kuachia pesa’ mtaani, Rais ajibu hakuna vya bure zaidi ya kuchapa kazi

Jibu sahihi. Ili siku nyingine ajifunze kuuliza. Anaposema rais aachie fedha anamaanisha rais aruhusu shughuli na biashara haramu pamoja na dili haramu. Vijana wengi wana hulka ya kuchukua maneno kwa wanasiasa bila kutafakari.
 
DAAH SINA NENO NA RAIS ILA KWA JIBU HILO KIUKWELI KAMA KATAMKA YEYE INGEKUWA MAREKANI WANGESIMAMA NAE HADI AJIUZURU
Marekani mwanaume kuolewa ni nijambo lakawaida na sikosa kisheria na nimoja ya haki za binadamu
 
Wote mlio karibu na Rais au ikatokea amefikia eneo lenu na ukaweza kumpa wazo naomba mmwambie afanya mchakato huduma ya paypal ifanikiwe nchini.

Vijana tutamkumbuka kama Rais aliyeonyesha nia ya kupanua wigo wa kujiajiri kwa kurahisisha ajira za mtandaoni.

Shukrani.
 
mimi pia naamini wewe una mtindio wa akili hivyo vigumu kunielewa....

lugha chafu huwa haziuzwi
Mimi nimeanza kuandika ukanukuu, ulielewa nimeandika nini au unapuyanga tu?

Nakuuliza hili swali kwa sababu naona unaandika bila mtiririko kama mtu ambaye huelewi nilichoandika maana yake ni nini.
 
Ni jambo la ajabu na la kushangaza kwamba serikali ya Tanzania iliyojinasibu kupinga tabia za ushoga kwa miongo kadhaa mpaka kwenye sheria za nchi.

Mkuu wa nchi alipokuwa Igunga akijibu swali la mwananchi aliyemuomba Rais wa wanyonge achie fedha kwenye mzunguko alimwambia afanye kazi hakuna pesa za bure vinginevyo akaolewe.

Aliyeuliza swali ni mwanaume na yawezekana ana mke na watoto, unapomwambia akaolewe maana yake akafanye vitendo vya ushoga.

Kwa hiyo sasa hivi serikali ya CCM ushoga ni ruksa?

Majibu mengine ya wanasiasa huzua maswali zaidi kuliko majibu.
Tafsiri rahisi kuwa hakuruhusu ushoga ila karuhusu kama vile ebitoke alivyomuoa kwa muda jamaa fulani Dar.
 
Daaaah ndo maana watu walikua wana doubt kati yake yeye na RC sasa naanza kuunganisha dots
 
Nachukia sana nisikie mwanaume anacomment hiv,
Hivi mama yako akijua unacomment hv si anaweza afe
Marekani mwanaume kuolewa ni nijambo lakawaida na sikosa kisheria na nimoja ya haki za binadamu
 
Nachukia sana nisikie mwanaume anacomment hiv,
Hivi mama yako akijua unacomment hv si anaweza afe
We umeizungumzia marekani nikakufahamisha hiyo nchi uliyo isema hayo mambo ya mwanaume kuolewa ndiyo wana yapenda na kuya furahia, kwa ko wewe usiyo jua sheria za ndoa za marekani ukasema ingekuwa marekani wange mpinga magufur.
 
Japo si Mshabiki wa CCM lakini niliangalia na kusikiliza hiyo Video mwanzo Mwisho.....

RAIS HAKUSEMA KWAMBA YULE BWANA "AKAOLEWE "
huu ni uongo ambao unapunguza hata Nguvu za hoja za wengi!

RAIS alisema watu wakafanye kazi Ndo watapata pesa.
Nachukia Uongo... Uongo ni Uuaji!
 
.. Ufafanuzi wa kisukuma...."Sema alikuwa alizungumza kwa kisukuma nanukuu(shiteho sha bhule kolaga ukatolwe) akaendelea kwa kusema kwani hakuna akina mama wanao oa wanaume?

Hiyo kuolewa na mwanaume mwenzie ni reflection ya kitabia chako... i mea. chenu

Alimaanisha kuolewa na wamama..
Sawa praise team
 
Back
Top Bottom