strategies differs so keep quiet wait for final resultNimemuona mgombea wa cuf ndugu Leopald Mahona akifanya kampen za nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa akiona watu wawili au watatu wamesimama anaomba kura. Je hii inaashiria nini? Maji yamemfika shingoni kwamba kwenye mikutano yake watu hawaendi?
huyu Mahona anakubalika kuliko kashindye
mbona anatia huruma kama MUKAMA bwana!
Nimemuona mgombea wa cuf ndugu Leopald Mahona akifanya kampen za nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa akiona watu wawili au watatu wamesimama anaomba kura. Je hii inaashiria nini? Maji yamemfika shingoni kwamba kwenye mikutano yake watu hawaendi?