Igunga: Mgombea CUF na kampeni zake

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Nimemuona mgombea wa cuf ndugu Leopald Mahona akifanya kampen za nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa akiona watu wawili au watatu wamesimama anaomba kura. Je hii inaashiria nini? Maji yamemfika shingoni kwamba kwenye mikutano yake watu hawaendi?
 
Bora atangaze kura zake wawape chadema tutamuelewa bla ivyo atasumbuka sana
 
Nimemuona mgombea wa cuf ndugu Leopald Mahona akifanya kampen za nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa akiona watu wawili au watatu wamesimama anaomba kura. Je hii inaashiria nini? Maji yamemfika shingoni kwamba kwenye mikutano yake watu hawaendi?
strategies differs so keep quiet wait for final result

Mnaogopa strategy ayke au vipi?
 
maji ya shingo mtu mzima wakiambiwa chama hakina mvuto na sera zao ni sawa na Magamba wanavijafanya wanajua kuchonga sasa ona mtu mzima amekuwa Omba omba.....
 
kwa kweli ukimuona anatia huruma Mtatiro cjui yuko wapi maana zile kura zao walizokuwa wanaringa nazo zimeyeyuka ghafla. Strategic yake haina tofauti na yule wa Dp aliyeenda kuchukua na baiskeli mwingine anafanya kampeni kwa kutumia baiskeli mi naona wangejitoa tu kuliko kupoteza muda.
 
Walikufa watu wengi Zanzibar uchaguzi wa 1995 leo Cuf wamekubali kifunga ndoa na ccm sasa hiyo ndio faida yake.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa pale wanamapinduzi wakweli walipo amua kutumia njia ya Passive resistance kufikisha ujumbe kwa jamii yote ya Tanzania. Hamna mtu atakaye andamana ila watavaa nguo nyeusi siku hiyo ya jumatatu kulaani mambo mengi yanayotendeka na hii serikali likiwemo , kukosekana kwa umeme, mikataba mibovu, huduma duni za maji, afya na elimu, Umaskini ulio kithiri, Wingi wa safari za mkuu wa kaya pasipo tija, uzembe na kutowajibika kwa watendaji:

Be part of the change, sms zinazunguka japo Mod anaibania kuiweka kwenye jamii forum wingi wa nguo nyeusi utamaanisha wingi wa wataka mabadiliko the time is now or Never!

Changes always honours the mind that is prepared! Lets do Let go for change! Neither Chadema nor CCM will bring the change that we people of Tanzania can bring. Black garmet is to send the message to the Government!
 
We can start together for individual success but finishing we can differ depending on our exactly target.
 
Nimemuona mgombea wa cuf ndugu Leopald Mahona akifanya kampen za nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa akiona watu wawili au watatu wamesimama anaomba kura. Je hii inaashiria nini? Maji yamemfika shingoni kwamba kwenye mikutano yake watu hawaendi?

Kampeni za nyumba kwa nyumba huwa ni very effective, kwa taarifa yako.
 
Nimemuona mgombea wa cuf ndugu Leopald Mahona akifanya kampen za nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa akiona watu wawili au watatu wamesimama anaomba kura. Je hii inaashiria nini? Maji yamemfika shingoni kwamba kwenye mikutano yake watu hawaendi?

I know the guy very well, nime xcul naye somewhre tabora, jamaa hana bahati ya kukubalika, huwa analazimisha kukubalika, any way goodluck comrade.!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom