ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
tbc 1 wameelezea kuwa msafara wa shigela kiongozi wa uvccm wamemshambulia kiongozi wa kata cuf huko igunga kwa kupandisha bendera na yuko hospitali ila kanyimwa matibabu. Jee ndoa ya ccm na cuf imevunjika au huu ni ugomvi wa ndani ya familia?
utakuwa ugomvi wa kifamilia, tusiwaingilie