Igunga - Makubwa yaliyofanywa na Rostam ni yepi?

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Wakuu tumeshawasikia watu wengi hasa wanaCCM wakidai Rostam amefanya mambo makubwa huko Igunga this include raisi JK, Mkapa, Mwigulu, Katibu mkuu wa CCM nk. Wamo pia in records akina Faiza Foxy, Ritz, Rejao, Nape kushuhudia makubwa hayo. I have challenged more than once humu JF kuhusu a substantiated list ya makubwa aliyofanya Rostam Igunga lakini so far kimya.

Sasa kama ilivyowahi kusemwa huko nyuma a picture speaks thousands of words: Zifuatazo ni baadhi tu ya picha za Igunga, tunawaomba sana mashabiki wa Rostam mtuletee picha za mambo makubwa yaliyofanywa na Rostam Igunga otherwise mkae kimya maana huo ni uongo.

1.
15rl7hv.jpg

2.
2viji87.jpg

3.
2viji87.jpg

4.
351yb6w.jpg

5.
2vnkiyx.jpg

6.
33keiop.jpg

7.
2wqy4jl.jpg

Na kama kwenye makubwa ndiyo kuko namna hii basi kazi tunayo!!!!
 
Makubwa ya Rostam Igunga pleeeeeeeeeeeeeeeese!!!!!!!!!
 
Hayo ndio maendeleo, baiskeli ni nyingi sana hakuna kwenda tena shule kwa miguu. Kumbuka maneno ya hotuba ya mkapa kwamba yeye alikuwa anaenda shule kwa miguu lakini sana watoto wanaenda kwa baiskeli.
 
Inawezekana kule kujilimbikizia mali na kuchangia kwa kiasi kikubwa
kampeni za CCM ndiyo makubwa yanayosemwa, vinginevyo...
 
unataka makubwa ya rostam au hata madogo?
kwa sababu makubwa hatuna ngoja tupekuapekua kidogotupe muda mkuu.
Je picha za migodo yake au magodown yake utapokea?kwani alituambia ndo maendeleo
na ajira kwet vijana.
 
Duh hii kali Rostam kafanya maajabu ndiyo maana wanaIgunga waliangua vilio na wengine walizimia siku alipojivua gamba makubwa.

2wqy4jl.jpg
 
Duh hii kali Rostam kafanya maajabu ndiyo maana wanaIgunga waliangua vilio na wengine walizimia siku alipojivua gamba makubwa.

2wqy4jl.jpg

Yaani mkuu unajua mpaka nashindwa kuelewa lakini tuwe na subira labda tutaletewa hayo makubwa !
 
unataka makubwa ya rostam au hata madogo?
kwa sababu makubwa hatuna ngoja tupekuapekua kidogotupe muda mkuu.
Je picha za migodo yake au magodown yake utapokea?kwani alituambia ndo maendeleo
na ajira kwet vijana.

Haina noma mkuu ziletwe tu!
 
Tabora inasifika kwa kuwa na miti ya asili ya mbao kama Mninga; sasa hizo mbao ni kwa ajili ya wanaojenga mahekalu DSM; Arusha na Mwanza au hata raia wa Tabora?

Maskini wananchi wa Tabora, Mungu amewajalia rasilimali mmeshindwa kuzitumia hata kuwatengenezea madawati watoto wenu!!!!
 
Yaani mimi sielewi kabisa halafu tunasimuliwa kila kukicha Rostam amefanya mabo makubwa!!!!!!!!
 
Hali ya wananchi wa Igunga kiuchumi na kijamii inasikitisha sana;kuna sababu gani kwa CCM kuweka hata mgombea kwenye hali kama hii ninayoiona?Miaka 50 ya UHURU yaani bado watoto wetu wanakaa chini ya sakafu?
 
Unajua hii inanikumbusha miaka ileeeeee ya themanini mwanzoni, Imagine hata hizo nyumba huwezi amini kama wanaishi watu!
 
Mkuu Nyambala,

Wangekujibu, lakini naona wako kwenye Kampeini na uwezo wa kuingia hapa ni mdogo maana Igunga nadhani hata kuchaji simu lazima utembee kilomita 20! Umeme wa Tanesco umeishia Tabora mjini!
 
Ni kweli Rostam kafanya makubwa unadhani kumuingiza mkuu MAGOGONI ni issue ndogo dah! shame on him...
 
Na huku ndiyo kwao mgombea wa CCM Dr. Kafumu, naona Rostam alikusahau kabisa huku!!!!!! hahaha ahahaha ahahaha!!!!!!!

6+Vijana+wa+Itumba+wakiwa+na++picha+ya+Dk.+Kafumu+wakti+wakiingia+kwenye+mkutano+uliofanyika+katika+kata+hiyo..jpg
 
Back
Top Bottom