Igunga: Kashindye wa CHADEMA afunika kijiji cha Matinje

Wana wa Igunga; Siku ya kura msiruhusu watu wa kuletwa kwa malori wakapiga kura kwenye vitongoji vyenu!



Kiwanga+na+Kasulumbai.JPG


MAANDAMANO YA KUMSIKIKIZA KASHINDYE KWENYE GARI LAKE WAKIWEMO KAMANDA SUSAN
KIWANGA NA KAMANDA KASAMBALYA. HAWA NI WANAKIJIJI WENYEWE NA SIYO WAKULETWA NA
MALORI KUTOKA MBALI.
 
KILA JAMBO NA WAKATI "ulikuwa wakati wa CCM Wameuchezea acha watu wawaadabishe"ALIEKWAMBIA Mkapa unakubalika mpe POLE.
 
Kazane buti wanaigunga,muwatoe hawo wakoloni weusi CCM madarakani,ni majambazi wa kutupa wao na watoto wao.
 
Mungu aendelee kuwaongoza vema wana wa Igunga na waTz kwa ujumla waendelee kuona maovu ya Ccm maana wanakera sana hawa Magamba
 
Kiwanga+na+Kasulumbai.JPG


MAANDAMANO YA KUMSIKIKIZA KASHINDYE KWENYE GARI LAKE WAKIWEMO KAMANDA SUSAN
KIWANGA NA KAMANDA KASAMBALYA. HAWA NI WANAKIJIJI WENYEWE NA SIYO WAKULETWA NA
MALORI KUTOKA MBALI.

Inanikumbusha usomaji wangu wa Novel za James Hadley Chase. Kuna novel ilikuwa inaitwa,'' THIS IS FOR REAL''. Yes the picture depicts the reality and current situation in Igunga. This is for real! CCM hata kama watachakachua wajue kuwa FREEDOM IS COMING TOMORROW.

Shime wana- Igunga TUNATAKA MABADILIKO IGUNGA. Chama cha MAGAMBA ndiyo BYEBYE. Waambieni mwenzio akinyolewa wewe anza kutia maji. Ndugu zetu wa ZAMBIA wameonyesha mfano live kuwa MAGEUZI KWENYE SANDUKU LA KURA YANAWEZEKANA. MICHAEL SATTA KIDEDEA NA RUPIA BANDA ZIIIIIIIIIIIIIII! Tunataka tarehe 2/10/2011 KIBWAGIZO chetu kiimbwe IGUNGA YOTE: KASHINDYE KASHINDA na KAFUMU KAFUMULIWA!!
 
Back
Top Bottom