Igunga: Jinsi wakala wa CHADEMA alivyouliwa...

Haki itendeke polisi waache uccm wafanye kazi kisheria.we're tired to see our bloods poured always down we're Tanzanian what is ccm which kills people for demands of leadership.please! LEADER of people(WS)we're read on demostrations all the country
 
Ndugu zangu na Watanzania wenzangu, Tanzania sio Nchi yenye Amani hata Kidogo. Wanaosema Tanzania ni Kisiwa cha Amani niwanafiki tena wanafiki mbele za Mwenyezi Mungu. Tanzania imekuwa ikishutumiwa sana kwa mambo mabaya tena machafu yanayomchukiza Mwenyezi Mungu ikiwa pamoja na Wananchi wake. Kitendo hiki cha mauaji kilichofanyika Igunga, ni kitendo cha ukatili tena cha Kinyama. Hii inaonyesha dhahiri kuwa hata Uchaguzi ujao 2015, kutatokea mauaji ya halaiti kama ilivyotokea Igunga kwenye Uchaguzi mdogo-wa Ubunge. Inavyoobyesha chama kinachotawala hakitakubali kushindwa na kitatumia Vitisho, na kutumia Jeshi la Polisi na ikiwezekana hata JWTZ ali mradi kisaidiwe ili kishinde. Mauaji ya Igunga yanaonyesha wazi jinsi picha itavyokuwa. Lakini yote haya yanatokea kwasababu ya Uroho wa Madaraka wa baadhi ya viongozi wa CCM. CCM inataka kutupeleka wapi Watanzania wenzangu?
Hivi kuna mtu asiyejua hali ya Uchumi imekuwa mbaya sababu ya viongozi wa CCM, kutuibia kodi zetu sisi walalahoi?

Taarifa rasmi inaeleza kuwa Marehemu Mbwana Masoud, aliekuwa Wakala wa CDM kutokea Ubungo DSM, alipotea tar 2/10/2011, siku ya uchaguzi, lakini ukweli ni kuwa siku hiyo ndiyo ilipogundulika kuwa amepotea baada kuhitajika kupelekwa kituoni kwake na kukosekana.

Hali halisi ni kuwa Mbwana Masoud usiku wa tar 1/10/2011 (Mkesha wa kuamkia siku ya uchaguzi) baada ya kula chakula cha jioni alitoka kunyoosha miguu, ingawa palitolewa Hali ya tahadhari lakini hali ilionekana iko shwari. Kumbe kulikuwa na kundi la mabaunsa wanne wa CCM wakimfuatilia, na inaelekea walikuwa wakiwasiliana kwa simu na gari lao, kwani mara walipomvamia, tena mbele za watu, gari hilo aina ya L/Cruiser Hardtop jeupe lenye namba T***ARD, mali ya CCM, Mara nyingi katika kipindi cha kampeni hizi lilikuwa likitoka usiku na mchana huwa linapaki, dereva wake ni yule alieshiriki kuwapiga mabapa ya mapanga wana CDM waliokuwa wakidai matokeo ya uchaguzi yatangazwe.

Ingawa Mbwana alijitahidi kujitetea asichukuliwe lakini alizidiwa nguvu, alijaribu kupiga kelele kuomba msaada lakini alipigwa kabari ya nguvu, kabla ya watu waliokuwa karibu hawajajua la kufanya (kwani tukio lenyewe lilifanywa kwa kasi, pia walijifanya kama ni watu wanaofahamiana ila wana mzozo fulani) walimtia kwenye gari Hilo na kuondoka nae kwa kasi kuelekea upande wa Mwanzugi.

Mafedhuli hao wa CCM, Mateso waliyomtesa Mbwana Masoud kabla ya kumtoa roho ni Mungu na wao wenyewe ndio wanajua, lakini kwa jinsi hali ya maiti yake ilivyokutwa baada ya kutupwa kwenye vichaka karibu na Magereza siku ya tar 9/10/2011 inaonesha dhahiri unyama aliofanyiwa hata huko Somalia walikozoea kuuana hakuna unyama wa aina hii.

Alikutwa na suruali tupu bila shati, SHINGO YAKE ILIKUWA IMEVUNJWA KWA NGUVU, MACHO YAKE YAMETOBOLEWA NA HAYAONEKANI, KICHWA CHAKE KIMEPASULIWA KWA NYUMA CHINI YA KISOGO, KIFUA CHAKE KIMEBABUKA KAMA VILE AMEMWAGIWA AINA FULANI YA TINDIKALI, mwili wake unaonesha alipigwa sana kabla kuuawa kinyama.

Kilichotushangaza ni kuwa mwili huo uliotupwa hapo unaonesha dhahiri hakuuliwa siku hiyo ya tar 9/10, lakini haukuwa umevimba Kama kawaida bali ulikuwa unaonesha dhahiri kuwa ulitiwa dawa ya kuhifadhia maiti, kwa vyovyote vile wauaji wake hawakuwa majambazi wa kawaida wa mtaani ambao huua na kuishia zao, bali ameuliwa na Organization kamili yenye motive ya kuua wakala wa CDM, ikumbukwe kwamba Serkali ya CCM awali ilitangaza kukataza mawakala kutoka nje ya jimbo, baada Wakili Tundu Lissu kwenda kumfundisha sheria Msimamizi wa Uchaguzi Igunga, ndipo wakaruhusiwa kwa shingo upande, lakini njiani walisumbuliwa sana na maaskari kwa maelekezo ya wakubwa w CCM.

Alitekwa ili kuwatisha mawakala wengine waogope kuwajibika, uongozi wa CDM ulitumia busara kutopiga kelele na badala yake kwenda kutoa taarifa Polisi kimyakimya, ingawa Polisi yenyewe haikuchukua hatua yoyote ya msako, mawakala wa CDM waliwajibika vilivyo vituoni na hakuna kura iliyoibiwa, ikabidi Serkali iisaidie CCM ishinde kwa nguvu kwa kuwazuia maelfu ya Vijana waliofika vituoni kupiga kura ingawa walipoteza shahada zao, kwa kujaza form No 17, mwanzo waliwaruhusu kupiga kura Kama sheria inavyotaka, lakini walipoona wanazidi kuwa wengi, ilipofika saa 4 asubuhi Mkurugenzi aliagiza wasiruhusiwe kupiga kura, wakafukuzwa, wengine hawakukuta majina yao kwenye daftari, wengine walikataliwa kupiga kura kwa kuwa waliorodheshwa kuwa wamekufa! Just imagine unaenda kituoni na shahada yako kupiga kura unazuiwa usipige kwa sababu wewe umeshakufa!

Haya; pamoja na kutumia vibaya mahindi ya msaada kama rushwa siku moja kabla uchaguzi, na kampeni potofu siku ya uchaguzi kuwa mgombea wa CDM amejitoa kwa hiyo haina haja kumpigia kura, ndiyo yalichangia ushindi kiduchu wa CCM.

Nirudi kwenye mada ya msingi ya mauaji, nisameheni najichanganya kwani Nina machungu mengi, Maiti ya Mbwana Masoud ilipookotwa, ilikutwa na kipande cha karatasi ambacho wauaji walitaka iaminike kuwa marehemu aliiandika baada ya kuuawa akitaja majina ya waliomuua, Polisi waliipuuza karatasi hiyo ingawa bado wanaishikilia, inazidi tu kuthibitisha kuwa wauaji wamejaribi kuficha kitendo chao na hivyo kukamilisha misingi ya First Degree Murder!

CCM Arusha iliua kwa kutumia Polisi wa serkali yake, lakini Igunga CCM imeua kwa kutumia Mungiki wake iliowalipa na kutumia gari lake, gharama zitokanazo na kodi zetu, Masoud akiwemo.

Salaam kwenu enyi Wauaji CCM, mnahubiri Amani na Utulivu majukwaani lakini Mikono yenu imetapakaa Damu ya wasio na Hatia, hakuna waliofanya hivyo wakafanikiwa mafanikio ya kudumu, mmepata Spasmodic Victory lakini Hakika mtaSuffer Eternal, Shameful Defeat!

Enyi wauaji CCM, Salaam kwenu kutoka kwa maelfu ya vijana wa Igunga waliodhulumiwa haki Yao ya kupiga kura kwa makusudi, Tunawaambia, Sukilizeni Vizuri enyi Mafedhuli, Haki itatendeka Igunga, however long it might take, lakini HAKI LAZIMA ITATENDEKA TU!

Tunajua hamuamini Mungu Enyi Wauaji na Wazinzi wa Wake za Watu, lakini Mungu alishasema " HAKI IKIDHIHIRI, BATILI HUJITENGA, HAKIKA BATILI NDIO HUJITENGA!" Kama mnajidai hamumuamini wala kumuogopa Mungu basi Hakika Mtakumbana na Nguvu za Umma ambazo ni Kubwa kuliko nguvu za Dola!

Umma wa Igunga una Hasira na Nyie Mafedhuli wakubwa, mnajua, Mbona hamkusherehekea vilivyo ushindi wenu hapa Igunga? Mlilipua fastafasta mkaenda kusherehekea Singida na Dar ambako mlifanya sherehe kubwa na maandamano ya kumpokea Mbunge wenu wa huko mliekuja kumtengenezea Igunga.
 
Haki itendeke polisi waache uccm wafanye kazi kisheria.we're tired to see our bloods poured always down we're Tanzanian what is ccm which kills people for demands of leadership.please! LEADER of people(WS)we're read on demostrations all the country
 
Polisi wa Tanzania, inawezekana hawajui wajibu wao. Inakuaje hata kwenye uchaguzi wanaaamriwa na viongozi wa Chama Tawala wapige wapiga kura Mabomu kisa ni wa Upinzani? Hivi Polisi ya Tanzania niya Chama Tawala? au Niya serikali pamoja na Wananchi wote wa Tanzania?
 
CHADEMA TUELEZE NINI CHA KUFANYA? YOU CAN DO MORE MY ORGANIZING SOMETHING!! PIA TUNAOMBA MTUWEKEE PICHA YA MPENDWA WETU ALIYELAZIMISHWA KUTUTOKA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTETEA DEMOKRASIA!!

Pia Tunaomba Namba ambayo tunaweza Kuchangia Rambi-rambi zetu kwa ndugu na Jamaa wa Marehemu!! Mungu amrehemu na Kumlaani aliyepanga Mauaji Haya!!! Ipo siku Laana Hii Itamfikia!!

BAKWATA NDUGU ZANGU MKO WAPI KUTOA TAMKO MUHISILAMU MWENZETU KAULIWA KINYAMA?????
 
Na hapa BAKWATA watoe tamko kwani aliyeuwawa kikatili ni muislam aliyekwenda kulinda haki huko Igunga.

Ile ya Igunga haikuwa BAKWATA ila ilikuwa BAKWACHA ikijifanya kuwa ni BAKWATA (refer Mwanahalisi ya leo). Haiwezekani Taasisi moja ikatoa misimamo tofauti kwenye suala moja hilohilo. Bakwata walieleza kwa uzuri kuwa hijabu inafunika mwili mzima na kuwa mwanamke muislamu akiolewa na mkristo anakuwa "ameritadi" yaani ameasi na siyo mwislamu tena. BAKWACHA ambao kwa mujibu wa Mwanahalisi la leo ni kifupisho cha Baraza Kuu la Waislam wa Chama Cha Mapinduzi walikuja na tafsiri pana zaidi ya Hijabu ambayo ilihusisha ushungi al maarufu mtandio. Kwa hiyo kwa mujibu wa BAKWACHA mwanamke yeyote aliyevaa ushungi na akawa na jina la kiarabu basi huyo ni muislamu.
 
Mungu amlaze mahali pema peponi Amin..nnahakika siku si nyingi aya yote yatakwisha.."maumivu yakizidi ushindi unakaribia"
 
Haitatosha tu kulaani. Kila mtanganyika mwenye akili timamu bila kujali itikadi za kisiasa, imani za kidini au nafasi yake kimaisha, lazima tuje pamoja na tutafute dawa ya kukomesha hii tabia, lazima tuwateme kutoka ktk jamii yetu watu wenye mawazo na makusudi ya kufanya uovu na ukatili wa aina yoyote ili tu wabaki madarakani. Hebu jiweke ktk nafasi ya huyu marehemu, unaumizwa na kuteswa kwa maumivu makuu kwa sababu ya msimamo wako wa kisiasa...ili tu wezi fulani waendelee kusalia ndani ya ofisi za umma. Tumepewa utashi, tukiamua tunao uwezo wa kukataa na kukomesha tabia hii.
 
Mipango ya namna hii haina tija kwa maendeleo ya taifa letu, RIP Masoud
 
Wana JF wote tunatambua kwamba Mbaya wetu sote ni Mh.Dr Jakaya Mrisho Kikwete,yeye aliingia kwenye madaraka kwa mkono wa upanga aliharibu sana maisha ya wenzie waliokuwa wanagombea kwa kuwachafulia hadhi

Alipofika Ikulu badala ya kuchukua dhamana kwa moyo,utu,uadilifu na kumuogopa Mungu akaanza kugawa wananchi ,watendaji na hata viongozi mbalimbali kwa kuufanya mtandao wake uliomsaidia kuingia madarakani kuwa kikundi rasmi cha kuifedhuli nchi,kuiibia na kuuza rasilimali zote na kujitadhirisha kupindukia

Akiingia katika ngwe ya ushindani wa kurudi IKulu kwa mara ya pili ametugawa wananchi kwenye matabaka ya udini na ukabila,ameengiza familia yake kuwa kitengo maalumu cha utawala ,Kwa dhambi aliyooingiza kwenye mfumo wa utawala na demokrasia ameona jinsi wananchi wanavyomkataa,na wale walioko kwenye mtandao wake,amebuni njia ambayo hakika asipoikomesha mara moja miaka mitano hatamaliza,lazima ataondolewa ikulu kwa namna yeyote ile katika kipindi chake kumekuwa na mateso makubwa kwa wananchi wananchi wengi wamewekwa ndani kwa sababu ya amri ya watawala

Wengi wameuliwa kwa kupitia jeshi la Polisi,wengi wamedhulumiwa haki zao kuswekwa rumande ,kubambikiwa makesi bila sababu yeyote
Kwa hili l kumuua kada wa Chadema mbele ya uso wa wananchi,wameshuhudia na namba za gari wameziona,huyo mbunge Kafumu nadhani ataisikia Igunga kama vile wabunge wengi wa CCM walioshinda kwa dhuluma kama yule wa Shinyanga mjini,hata kaa afanye kazi Igunga ndio kesha agwa

Dr Mrisho Jakaya Kikwete ni Jini linalonyonya damu zetu tusipokata kichwa cha huyu jini nchi itakuwa kwenye machafuko makubwa wale wakututetea amewaweka mifukoni, Bunge,Mahakama Jeshi la Polisi,Usalama wa taifa ponapona yetu na tegemeo letu kiulinzi basi ni Jeshi la Ulinzi peke yao ambao angalau wameonyesha kukaa neutral
 
Ndio tunasema kuwa serikali inafanya mambo ya ajabu kama haya kuna haja ya Watanzania kuona kuwa jinsi gani walivyokuwa wanaonea watu wanyonge
 
CCM hapa wamechemsha.

lakini hata kenya Mungiki walianza kutumika pale ambapo anguko liko karibu.

anguko la CCM li karibu!

the Hague?
 
Taarifa rasmi inaeleza kuwa Marehemu Mbwana Masoud, aliekuwa Wakala wa CDM kutokea Ubungo DSM, alipotea tar 2/10/2011, siku ya uchaguzi, lakini ukweli ni kuwa siku hiyo ndiyo ilipogundulika kuwa amepotea baada kuhitajika kupelekwa kituoni kwake na kukosekana.

Hali halisi ni kuwa Mbwana Masoud usiku wa tar 1/10/2011 (Mkesha wa kuamkia siku ya uchaguzi) baada ya kula chakula cha jioni alitoka kunyoosha miguu, ingawa palitolewa Hali ya tahadhari lakini hali ilionekana iko shwari. Kumbe kulikuwa na kundi la mabaunsa wanne wa CCM wakimfuatilia, na inaelekea walikuwa wakiwasiliana kwa simu na gari lao, kwani mara walipomvamia, tena mbele za watu, gari hilo aina ya L/Cruiser Hardtop jeupe lenye namba T***ARD, mali ya CCM, Mara nyingi katika kipindi cha kampeni hizi lilikuwa likitoka usiku na mchana huwa linapaki, dereva wake ni yule alieshiriki kuwapiga mabapa ya mapanga wana CDM waliokuwa wakidai matokeo ya uchaguzi yatangazwe.

Ingawa Mbwana alijitahidi kujitetea asichukuliwe lakini alizidiwa nguvu, alijaribu kupiga kelele kuomba msaada lakini alipigwa kabari ya nguvu, kabla ya watu waliokuwa karibu hawajajua la kufanya (kwani tukio lenyewe lilifanywa kwa kasi, pia walijifanya kama ni watu wanaofahamiana ila wana mzozo fulani) walimtia kwenye gari Hilo na kuondoka nae kwa kasi kuelekea upande wa Mwanzugi.

Mafedhuli hao wa CCM, Mateso waliyomtesa Mbwana Masoud kabla ya kumtoa roho ni Mungu na wao wenyewe ndio wanajua, lakini kwa jinsi hali ya maiti yake ilivyokutwa baada ya kutupwa kwenye vichaka karibu na Magereza siku ya tar 9/10/2011 inaonesha dhahiri unyama aliofanyiwa hata huko Somalia walikozoea kuuana hakuna unyama wa aina hii.

Alikutwa na suruali tupu bila shati, SHINGO YAKE ILIKUWA IMEVUNJWA KWA NGUVU, MACHO YAKE YAMETOBOLEWA NA HAYAONEKANI, KICHWA CHAKE KIMEPASULIWA KWA NYUMA CHINI YA KISOGO, KIFUA CHAKE KIMEBABUKA KAMA VILE AMEMWAGIWA AINA FULANI YA TINDIKALI, mwili wake unaonesha alipigwa sana kabla kuuawa kinyama.

Kilichotushangaza ni kuwa mwili huo uliotupwa hapo unaonesha dhahiri hakuuliwa siku hiyo ya tar 9/10, lakini haukuwa umevimba Kama kawaida bali ulikuwa unaonesha dhahiri kuwa ulitiwa dawa ya kuhifadhia maiti, kwa vyovyote vile wauaji wake hawakuwa majambazi wa kawaida wa mtaani ambao huua na kuishia zao, bali ameuliwa na Organization kamili yenye motive ya kuua wakala wa CDM, ikumbukwe kwamba Serkali ya CCM awali ilitangaza kukataza mawakala kutoka nje ya jimbo, baada Wakili Tundu Lissu kwenda kumfundisha sheria Msimamizi wa Uchaguzi Igunga, ndipo wakaruhusiwa kwa shingo upande, lakini njiani walisumbuliwa sana na maaskari kwa maelekezo ya wakubwa w CCM.

Alitekwa ili kuwatisha mawakala wengine waogope kuwajibika, uongozi wa CDM ulitumia busara kutopiga kelele na badala yake kwenda kutoa taarifa Polisi kimyakimya, ingawa Polisi yenyewe haikuchukua hatua yoyote ya msako, mawakala wa CDM waliwajibika vilivyo vituoni na hakuna kura iliyoibiwa, ikabidi Serkali iisaidie CCM ishinde kwa nguvu kwa kuwazuia maelfu ya Vijana waliofika vituoni kupiga kura ingawa walipoteza shahada zao, kwa kujaza form No 17, mwanzo waliwaruhusu kupiga kura Kama sheria inavyotaka, lakini walipoona wanazidi kuwa wengi, ilipofika saa 4 asubuhi Mkurugenzi aliagiza wasiruhusiwe kupiga kura, wakafukuzwa, wengine hawakukuta majina yao kwenye daftari, wengine walikataliwa kupiga kura kwa kuwa waliorodheshwa kuwa wamekufa! Just imagine unaenda kituoni na shahada yako kupiga kura unazuiwa usipige kwa sababu wewe umeshakufa!

Haya; pamoja na kutumia vibaya mahindi ya msaada kama rushwa siku moja kabla uchaguzi, na kampeni potofu siku ya uchaguzi kuwa mgombea wa CDM amejitoa kwa hiyo haina haja kumpigia kura, ndiyo yalichangia ushindi kiduchu wa CCM.

Nirudi kwenye mada ya msingi ya mauaji, nisameheni najichanganya kwani Nina machungu mengi, Maiti ya Mbwana Masoud ilipookotwa, ilikutwa na kipande cha karatasi ambacho wauaji walitaka iaminike kuwa marehemu aliiandika baada ya kuuawa akitaja majina ya waliomuua, Polisi waliipuuza karatasi hiyo ingawa bado wanaishikilia, inazidi tu kuthibitisha kuwa wauaji wamejaribi kuficha kitendo chao na hivyo kukamilisha misingi ya First Degree Murder!

CCM Arusha iliua kwa kutumia Polisi wa serkali yake, lakini Igunga CCM imeua kwa kutumia Mungiki wake iliowalipa na kutumia gari lake, gharama zitokanazo na kodi zetu, Masoud akiwemo.

Salaam kwenu enyi Wauaji CCM, mnahubiri Amani na Utulivu majukwaani lakini Mikono yenu imetapakaa Damu ya wasio na Hatia, hakuna waliofanya hivyo wakafanikiwa mafanikio ya kudumu, mmepata Spasmodic Victory lakini Hakika mtaSuffer Eternal, Shameful Defeat!

Enyi wauaji CCM, Salaam kwenu kutoka kwa maelfu ya vijana wa Igunga waliodhulumiwa haki Yao ya kupiga kura kwa makusudi, Tunawaambia, Sukilizeni Vizuri enyi Mafedhuli, Haki itatendeka Igunga, however long it might take, lakini HAKI LAZIMA ITATENDEKA TU!

Tunajua hamuamini Mungu Enyi Wauaji na Wazinzi wa Wake za Watu, lakini Mungu alishasema " HAKI IKIDHIHIRI, BATILI HUJITENGA, HAKIKA BATILI NDIO HUJITENGA!" Kama mnajidai hamumuamini wala kumuogopa Mungu basi Hakika Mtakumbana na Nguvu za Umma ambazo ni Kubwa kuliko nguvu za Dola!

Umma wa Igunga una Hasira na Nyie Mafedhuli wakubwa, mnajua, Mbona hamkusherehekea vilivyo ushindi wenu hapa Igunga? Mlilipua fastafasta mkaenda kusherehekea Singida na Dar ambako mlifanya sherehe kubwa na maandamano ya kumpokea Mbunge wenu wa huko mliekuja kumtengenezea Igunga.

Kulingana na maelezo haya, inaelekea mauaji haya yana baraka zote za viongozi wa juu wa magamba kwa sababu gari iliyotumika kumteka marehemu ni la magamba, waliomteka wanafahamika ni mabaunsa wa magamba. Kuna watu pia walioshuhudia utekaji huu uliopelekea umauti. Kinachonishangaza ni kama kweli magamba wamefikia hapa kwamba wako tayari kuua waziwazi bila kificho kama walivyokuwa wakifanya huko nyuma hii ni hatari hatari hatari. magamba mnatupeleka wapi watanganyika??? Jambo moja eleweni wazi magamba ni kwamba ninyi ni binadamu kama binadamu wengine. Tofauti tu ni kwamba ninyi mnalazimisha kuongoza dola na pale mnapoona mnapata upinzani mko tayari hata kumwaga damu kama mlivyofanya huko igunga, bali eleweni kwamba nanyi hamtakuwa salama hata kidogo. Muwe mabaunsa, muwe mmeshika dola, muwe vyovyote vile lakini iko siku yenu mmoja mmoja mtawajibika. Kama siyo hapa duniani mtawajibika kwa muumba wenu na huko tutaona kama mtafanya huo ubaunsa wenu. Inaelekea sasa hivi hamjui kama Mungu yupo lakini iko siku mtajua.
 
Wana JF wote tunatambua kwamba Mbaya wetu sote ni Mh.Dr Jakaya Mrisho Kikwete,yeye aliingia kwenye madaraka kwa mkono wa upanga aliharibu sana maisha ya wenzie waliokuwa wanagombea kwa kuwachafulia hadhi

Alipofika Ikulu badala ya kuchukua dhamana kwa moyo,utu,uadilifu na kumuogopa Mungu akaanza kugawa wananchi ,watendaji na hata viongozi mbalimbali kwa kuufanya mtandao wake uliomsaidia kuingia madarakani kuwa kikundi rasmi cha kuifedhuli nchi,kuiibia na kuuza rasilimali zote na kujitadhirisha kupindukia

Akiingia katika ngwe ya ushindani wa kurudi IKulu kwa mara ya pili ametugawa wananchi kwenye matabaka ya udini na ukabila,ameengiza familia yake kuwa kitengo maalumu cha utawala ,Kwa dhambi aliyooingiza kwenye mfumo wa utawala na demokrasia ameona jinsi wananchi wanavyomkataa,na wale walioko kwenye mtandao wake,amebuni njia ambayo hakika asipoikomesha mara moja miaka mitano hatamaliza,lazima ataondolewa ikulu kwa namna yeyote ile katika kipindi chake kumekuwa na mateso makubwa kwa wananchi wananchi wengi wamewekwa ndani kwa sababu ya amri ya watawala

Wengi wameuliwa kwa kupitia jeshi la Polisi,wengi wamedhulumiwa haki zao kuswekwa rumande ,kubambikiwa makesi bila sababu yeyote
Kwa hili l kumuua kada wa Chadema mbele ya uso wa wananchi,wameshuhudia na namba za gari wameziona,huyo mbunge Kafumu nadhani ataisikia Igunga kama vile wabunge wengi wa CCM walioshinda kwa dhuluma kama yule wa Shinyanga mjini,hata kaa afanye kazi Igunga ndio kesha agwa

Dr Mrisho Jakaya Kikwete ni Jini linalonyonya damu zetu tusipokata kichwa cha huyu jini nchi itakuwa kwenye machafuko makubwa wale wakututetea amewaweka mifukoni, Bunge,Mahakama Jeshi la Polisi,Usalama wa taifa ponapona yetu na tegemeo letu kiulinzi basi ni Jeshi la Ulinzi peke yao ambao angalau wameonyesha kukaa neutral

Umeongea vizuri ila hapo kwenye nyekundu sikubaliani nawe. Huko jeshini nako kuna yao. si umesikia meremeta??
Na wenyewe wamo na kule ni kwamba wale wakubwa ndiyo wanaoneemeka na ndiyo maana wakubwa katika magamba hawana wasiwasi maana kule wameshakutuliza. si umesikia kuna mmoja amekutwa na trillioni kedekede kwenye akaunti yake huko bondeni??? Sisi wanyonge tulie tu sana sana tumlilie Mungu ambaye ndiye yuko juu ya vyote atunusuru na balaa hili la magamba.
 
Back
Top Bottom