Igunga: Idara ya Maji ni jipu, njooni na huku mtumbue

Prince Mujubu

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
340
249
Wasalamu humu ndani,

Katika hali isiyo ya kawaida tangu nifike hapa Igunga ni wiki mbili sasa na sijaona bomba la maji lililo hai(bomba linalo toa maji).

Visima vimekauka na wala hakuna taarifa yoyote toka idara husika.Maji hakuna wananchi wanaoga chozi.

Nawasilisha,tunaomba utimbuaji wa hili jipu haraka iwazekanavyo kwani limeshaiva.
 
Back
Top Bottom