abduel paul
Senior Member
- Nov 23, 2010
- 133
- 5
Wana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu wao uko kwenye kutoa tu misaada baada ya tatizo? Ni vipi kama wangetoa misaada ya namna ya uokozi wkt wa tatizo? Kama kutoa helkopta km zilivyokua zinaranda angani igunga?