Elections 2010 Igunga helkopta 3, ajali ya zanzibar vyombo vya uokozi serikali, heti vyama vinajali

abduel paul

Senior Member
Nov 23, 2010
133
5
Wana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu wao uko kwenye kutoa tu misaada baada ya tatizo? Ni vipi kama wangetoa misaada ya namna ya uokozi wkt wa tatizo? Kama kutoa helkopta km zilivyokua zinaranda angani igunga?
 
Usisahau pia hatujapata taarifa kama walishindwa kuokoa watu kwa sababu ya kukosa helikopta, kiufupi tuna vikosi vingi na askari wake wengi wanashinda wakila vitimoto. Tuna JKT, JWTZ, polisi, KMKM, magereza, wanyamapoli, mgambo waote hawa ni askari achilia mbali na kuwa tuna serikali mbili, je wote hawa hawawezi kushirikiana kwa pamoja kuokoa hii kitu?

Na je huoni kuwa Igunga was potential area kwa kunadi na kukuza vyama vya upinzani na ajali ya znz ni ajali haikutegemewa kwa hiyo mkuu mi ninavyoona hapa kuna uzembe uliofanyika kwenye taasisi zinazohusika kulinda usalama wa raia ukiachilia mbali na vituko vya haya mashirika ya usafirishaji majini.
 
Nakubaliana na wewe! Lakini nawaza hivi ni vipi kama vitengo vya serikali vikawa vzembe milele? Huoni sasa wakati umefika wa vyama navyo kubuni mbinu mbadala za kukabiliana na majanga kuliko kuiachia serikali tu? Waanze kama wapinzani waanze kujenga serikali kabla ya kuchukua serikali, mbona vyama vina miradi'
 
vitengo vya serikali vitakuwa vizembe milele kam CCM itaongoza milele....ili vyama vitake ownership tunatakiwa kuing'oa ccm madarakani na hapo ndipo uzembe huu utakapoisha....chanzo cha yote ni serikali kutowajibika....
 
majukumu mengine ni ya serikali halafu nashangaa ktk ofisi ya waziri mkuu kuna kitengo cha mafaa sijui huwa kina faida gani na kinatengewa fungu kila mwaka.
Hatuwezi kulaumu vyama kwa sababu kuna mamlaka husika ambazo zinahusika na haya mambo, vile kuna majeshi mwngine na askari wake hawana kazi zaidi ya kulala tu...
 
Wana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu wao uko kwenye kutoa tu misaada baada ya tatizo? Ni vipi kama wangetoa misaada ya namna ya uokozi wkt wa tatizo? Kama kutoa helkopta km zilivyokua zinaranda angani igunga?

abduel paul,

Ulinzi na Usalama wa wananchi na mali zao ndilo jukumu la kwanza kabisa la serikali. Wananchi wanalipa kodi ili serikali iweze kutimiza majukumu yake ya msingi.
Uzembe wa serikali, matumizi mabaya ya kodi zetu, kuyapa mambo yasiyo ya msingii vipaumbele ndizo sababu hasa za kushindwa kudhibiti maafa na hata kushindwa kutoa msaada wa haraka kuokoa maisha wakati wa ajali na majanga.
Jukumu la msingi la vyama vya siasa siyo kutoa misaada bali ni kujipanga viweze kuunda serikali ilil vihudumie wananchi kupitia makusanyo ya kodi na rasilimali za nchi.
Ni lazima kwa serikali kutenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya taasisi zinazohusika na uokozi na kuhakikisha ziko standby usiku na mchana.
 
sasa hatuna hiyo serikali, tusubiri mpaka wapinzani wachukue nchi? Ni vipi kama serikali iliyopo madarakani itabaki hapo ilipo? Hatuoni basi ipo haja ya vyama kuwa na mbinu mbadala za kukosoa serikali kabla ya matatizo kutukia? Mfano...! Tumezoea kuona zimamoto za serikali kufika kwenye matukio ya moto baada ya vyombo binafsi kuwa vimefika, embu CUF iwe na kitengo kimoja wapo cha jinsi hiyo na walau gari moja, huo ni mfano tu, wanaweza kuwa hata na zahanati ya chama, watoe huduma mahali fulani, mbona nimesikia kuna mpango wa kuanzisha bank ya vjana wa CCM, kwanini wao, Kwanini Bank?
 
Ifike wakati tuache dhana ya mpaka wapinzani washike madaraka, na kuikosoa serikali baada ya kuwa imekwisha fanya, tumekuwa washuuda wazuri kwamba sekta za serikali yetu, kama sekta za uokozi, mafanikio yake makubwa ni wameopoa maiti ngapi? Au majuruhi wangapi, swala la walio hai wangapi huwa la survivals, yaani watu binafsi, ni hata lini tusubiri serikali itende?
 
Ni vipi kama helkopta mathalani ya CDM ingeshirikia na vkosi vya uokozi kama wakati ule ambapo ajali tangu imetokea ilichukua muda mrefu kufika eneo la tukio,
 
Wana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu wao uko kwenye kutoa tu misaada baada ya tatizo? Ni vipi kama wangetoa misaada ya namna ya uokozi wkt wa tatizo? Kama kutoa helkopta km zilivyokua zinaranda angani igunga?
helkopta c wamekodi wengine kenya nk? cna uhakika sana kama kuna chama
kinachomiliki helkopta,na je serikali ilitoa chombo gani katika uokozi huo na waliokoa nini?
 
sasa hatuna hiyo serikali, tusubiri mpaka wapinzani wachukue nchi? Ni vipi kama serikali iliyopo madarakani itabaki hapo ilipo? Hatuoni basi ipo haja ya vyama kuwa na mbinu mbadala za kukosoa serikali kabla ya matatizo kutukia? Mfano...! Tumezoea kuona zimamoto za serikali kufika kwenye matukio ya moto baada ya vyombo binafsi kuwa vimefika, embu CUF iwe na kitengo kimoja wapo cha jinsi hiyo na walau gari moja, huo ni mfano tu, wanaweza kuwa hata na zahanati ya chama, watoe huduma mahali fulani, mbona nimesikia kuna mpango wa kuanzisha bank ya vjana wa CCM, kwanini wao, Kwanini Bank?

Kwa hiyo unataka serikali nyingi ndani ya serikali moja?! Ni upuuzi kuvilaumu vyama vya siasa kwa ajari ya Zanzibar' vyama vyenyewe vinategemea ruzuku na misaada na michango ya wanachama wewe unataka vitume helkopita kwenda kutafuta maiti wa ajari ya meli,hv unavyoona vinatumia helkopita unafikiri vinamiliki hzo helkopita? Ajari ni tukiola dharura sasa unataka wapate helkopita harakahara ili wakanusuru walionusurika kwenye ajari? ILAUMU SERIKALI YENYE KILA KITU na usihamishie makosa kwa watu wengine!
 
Wana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu wao uko kwenye kutoa tu misaada baada ya tatizo? Ni vipi kama wangetoa misaada ya namna ya uokozi wkt wa tatizo? Kama kutoa helkopta km zilivyokua zinaranda angani igunga?

Huko ni kuchanganya mambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom