Elections 2010 Igunga: Helkopta 2 za CCM zatua

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
helkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
 
Magufuri naona unataka kujiaibisha! Haya nenda kawape ahadi hewa ya ujenzi wa daraja.
 
Ya CDM ilikuwepo tangia asubuhi na wameshafanya mikutano 8 mpaka sasa sasa unashangaa kutua hata tarime CCM walikuwa nazo 2 hivyo hivyo.
 
sasa tufanyeje? au unafikiria ni sifa watu kuja na helocopter 2 wakati wananchi hawana hata uhakika wa mlo wa siku? yani sijui CCM wanafikiria kwa kutumia nini jamani! kwanza hizo ni hela zetu wananchi, wao wanachezea tu :laser:
 
helkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
Magufuri ana mvuto, kweli anaweza akasikilizwa na wananchi lakini siyo Kikwete! na watamsikiliza tuu lakini sidhani kama atabadilisha uamuzi wao wa kuwang'oa CCM, Huwa najaribu kujiuliza ni kwanini Nape na Kikwete hawatakiwi kabisa Igunga?
 
CCM kwa kuiga wanafikiri kuleta helkopta kama Chadema ndio watapendwa na vijana poleni sana.
 
Huo ndio mwisho wao!
Heri nusu-shari kuliko shari nzima!...i mean bora wange-spare hata hiyo gharama ya kukodi hlikopta kuliko kuingia gharama na kushindwa, maana baadaye wataanza kuitisha vikao tena vya kuulizana kwanini wameshindwa, ambayo nigharama zaidi, na baadaye watavuana magamba PHASE-2!
 
Spidi hii ingekuwa ni kuleta maendeleo tungekuwa kama japan!Tatizo la ccm yale ya msingi hawafanyi wanafanya ya kijinga
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom