Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mkigoma unaripoti habari za ccm na ccm b tu kwanini?
Wameleta ya nini? Ama wana lao jambo maana naona wameishiwa na mbinu hawa magamba.helkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
Magufuri ana mvuto, kweli anaweza akasikilizwa na wananchi lakini siyo Kikwete! na watamsikiliza tuu lakini sidhani kama atabadilisha uamuzi wao wa kuwang'oa CCM, Huwa najaribu kujiuliza ni kwanini Nape na Kikwete hawatakiwi kabisa Igunga?helkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
YEAH...ziliisaidia CCM kushinda!Ya CDM ilikuwepo tangia asubuhi na wameshafanya mikutano 8 mpaka sasa sasa unashangaa kutua hata tarime CCM walikuwa nazo 2 hivyo hivyo.
Magufuli atawashawishi tena kwa kisukuma.hapo CCM IMESHASHINDAhelkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
unafikiria wananchi wa Igunga upeo wao wa kufikiri ni mdogo kama wako?Magufuli atawashawishi tena kwa kisukuma.hapo CCM IMESHASHINDA
wait and see,unafikiria wananchi wa Igunga upeo wao wa kufikiri ni mdogo kama wako?
mawazo yao ni mgando, hawana jipya zaidi ya kucopy kwa creative CDMCCM kwa kuiga wanafikiri kuleta helkopta kama Chadema ndio watapendwa na vijana poleni sana.
Magufuli atawashawishi tena kwa kisukuma.hapo CCM IMESHASHINDA
Ni msukuma kule biharamulo wamejazana.Hakuna alieniambia ila yeye na mke wake mwl Pombe ninawafahamu toka sengeremanani alikwambia magufuli ni msukuma?