Igunga: Helikopta iliyotumika CUF yaanza kukivuruga chama

Hivi mtaji wa Cuf wa kura 11,000 ktk biashara ya uchaguzi Igunga, umeliwa, umekata au chuma ulete (ccm) wameubeba kiaina? maana Cuf walikuwa hawaishi maneno na majigambo ooh mtaji wa kura 11,000 naona umekata hadi 2000 duuu biashara ya uchaguzi bwana kweli biashara kichaa
 
Cuf kama hili lina ukweli ndani yake mmepotea njia na sasa mnaelekea kufa kama magamba
 
Julius Mtatiro toka huko, hapafanani na wewe. Kufikia 2015 hapatakuwa na CUF bara.
 
nawasikitikia cafu, sory cuf, namshukuru mungu kutubainishia mnafiki mapemaaa! kwa kuwa watanzania tunamfaham adui yetu kuwa ni ccm, basi tunaunganisha nguvu zetu kwa chadema, hakuna wa kutubabaisha. chadema muikumbuke kauli ya shutuma iliyotolewa na mtatizo, sory, mtatiro kuhusu cdm, isije ikatokea siku mkakubali ajiunge na chadema kwa sababu ametutukana!! kwamba tumehongwa na cdm. eti wanaiga kinachofanywa na ccm. mkikosea mtapoteza uungwaji mkono kama mtatizo alivyoadhibiwa igunga.
 
JF where we dare to talk openly ndo maana ya kutumia haya majina kama Counterpunch. Mtaje mkuu, anyway back to the topic!! Inawezekana ni kweli kabisa. Prof Ibrahim Lipumba karibu kwa wapambanaji CDM.

Labda siyo kampuni. Safari mwenyewe hoi anatafuta tundu la kutokea.
 
Siasa za kibongo zinachekesha at the same time zinakera.
Nawashauri cuf, kama ni kweli, wawatimue wote walioshiriki ktk kuandaa huo mchezo mchafu. Kwanza wamedharau kamati kuu, chombo cha maamuzi. Timueni wote.
 
Ndugu zangu mtatilo julius na Mzee wangu Prof. IBRAHIM LIPUMBA nawashauri hapo cuf hakuna mlifanyalo zaidi ya kujidhalilisha tu kimuonekano ni kama kuna watu wanawashinikiza kufanya hayo machache muyafanyayo nawaonea huruma sana njooni muungane nasi wanamapinduzi wa ukweli tupambane achaneni na hao kina jussa na maalim sefu na hamad rashd
 
images
images

Where l is the length of the pendulum between the pivot point and center of gravity, g is the gravitational acceleration, T is the period of one complete swing and phi = 22/7 or 3.14..

As the acute angle theta diminishes the bob will come to rest

bro!
hauna idea umenisononesha kiasi gani you have killed my day!!!
nilipokuwa mwanafunzi wa secondary school nilikuwa nimepinda ktk maths so baada ya kuona hiyo formula na michoro nikasahau helicopter ya CUF na nikapata nightmares even though it's still day time!!! ahahahahahahahahaahahahah

you jamiiforums guys are my virtual bros and friends - u r simply fantastic!!!!!!

Mkuu unajua hii kitu ni wachache sana wameelewa maana hasa kwa kifupi stori nzima hapo tunaweza kuifananisha na BEMBEA, ukisukumwa unakuwa unabembea ila msukumaji akiacha utajikuta unatulia kama umekaa juu ya kiti vile no motion. CUF wanasukumwa na CCM na kubembea huku wakisikia raha ila tuendako CCM watawaona ni mzigo usiokuwa na manufaa na hapo ndipo CUF watajikuta wame-Rest, hakuna external force to give a motion.

Kiujumla CUF bara imeangamizwa na CUF visiwani. Strategically CU bara walitakiwa wawaambie CUF visiwani kuwa Siasa za bara wawaachie wao waendelee na siasa zao za Uunguja na Upemba. Unapokuta watu kama Hamad Rashid au Ismail Jusa(huyu jamaa si mwanasiasa mzuri maana mwanasiasa huwa mtu wa watu ili huyu jamaa watu wanamlalamikia hata kwenye social media hawezi kukukubali kama hakujui, kitu ambacho wanasiasa wachache sana wanaweza fanya) kuwa ndiyo strategists wenu, basi mjue mmekwisha. Ningelikuwa Prof Lipumba ningejiuzulu kwa kashfa hii ya kubembezwa na CCM.
 
mkuu sema tu umeipata kwa mtatiro, maana jana alifunguka sana isivyo kawaida yake
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa CUF, chama nilichokipenda sana huko nyuma.
 
Sasa huyuhuyu Hamad Rashid ndo alikuwa anakomaa awe 'KUB' Kiongoz kambi ya Upinzan Bungen' huu ni ukichaa bora cdm walistuka mapema. Kama hz habar ni za kweli sijui ni nini kitatokea. Ila mi naona NCCR Mageuzi kuna vijana wazur mno bungen nashaur warudi cdm tujenge upinzan wa dhati maana wao hawana ndoa yoyote na pia watatufaa. Plz CHADEMA Tusiwaache wale vijana ni wazuri mno tuwashauri waachane na Cuf mana ni hazina.
 
salamu WAKUU!
mimi sina uhakika kama "heli" waliyotumia CUF ilikuwa ni mali yao au hapana na ninafikiri kilichowanyima KURA si "heli YES - heli NO" na ugomvi huo kama kweli upo utakuwa una reflect their political incapability - i'll try to be clear and precise- I'll try!!

TATIZO LA CUF ni kile wanadiplomasia wa magharibi wakati fulani walikuwa wanakiita" ideological ambiguity" lakini siku hizi tunakiita "political whoring!!! there's no reason on earth you can serve 2 masters at a time - if you guys decide to be a "colonial partner" of CCM in one part of the isle you don't have to expect that people from the second part of the isle will consider u as credible CCM opposers - JUST FORGET ABOUT THAT!!! People didn't vote for you not for the helicopter issue - it's because you are no longer credible!!!!!!! Hilo ndilo tatizo kuu, yaani hata msingekuwa na heli au mngeikodi kwa pesa yenu, still watu wasingewachagua regardless how good your candidate was!!!

Nimesoma thread somewhere kwamba nafikiri naibu katibu wa CUF bara, somebody Mtatiro (samahani kama nimekosea jina) anadai kuwa CHADEMA wamejifunza mbinu chafu za CCM so nao wanahonga wapiga kura!! Kama hayo maneno yametoka kinywani kwake basi au alikuwa amelewa(which is not an excuse anyway!!) or the guy is an authentic imbecile!! I'm afraid the second option prevails...

You CUF guys, the only way of solving the "impasse" you have fallen in, is first of all decide what u wanna do in your adulthood,politically speaking you still seem to be so unprepaired at least in the mainland i.e do you want to stay in the opposition side for the rest of your life or you want to join force with others especially CHADEMA in giving a knock out jab to CCM??? In doing this you must(i mean M.U.S.T!!!!) realize that your choices and standings in Zanzibar will determine you credibility in Tanganyika - the 2 thing can't be separated!!! in any case kama mtachelewa kuamua, wapiga kura wenu wataamua kwa niaba yenu IGUNGA docet!


Asante mkuu kwa analysis yako, ila nimeona maneno matatu ambayo inabidi wayatilie maanani wakati wanasoma hii post ili kupata message kamili. Nafanya hivi kwasababu najua udhaifu wetu wakati mwingine, tunapenda sana kufukia mashimo. Hope nime eleweka, maneno hayo ni whoring, imbecile na impasse.


(1)whoring - Everyone should know this comes fromthe word *****

incase---*****
   [hawr, hohr or, often, hoor] Show IPA noun, verb, whored, whor·ing.

noun
1.a woman who engages in promiscuous sexual intercourse, usually for money; prostitute; harlot; strumpet.


(2)imbecile -

noun
1.Informal . a dunce; blockhead; dolt.

2.Psychology . (no longer in technical use; considered offensive) a person of the second order in a former and discarded classification of mental retardation, above the level of idiocy, having a mental age of seven or eight years and an intelligence quotient of 25 to 50.


adjective
3.Informal . stupid; silly; absurd.

4.Usually Offensive . showing mental feebleness or incapacity.

5.Archaic . weak or feeble.


(3)impasse -

1.a position or situation from which there is no escape; deadlock.

2.a road or way that has no outlet; cul-de-sac.
 
Back
Top Bottom