Igunga: Helikopta iliyotumika CUF yaanza kukivuruga chama

salamu WAKUU!
mimi sina uhakika kama "heli" waliyotumia CUF ilikuwa ni mali yao au hapana na ninafikiri kilichowanyima KURA si "heli YES - heli NO" na ugomvi huo kama kweli upo utakuwa una reflect their political incapability - i'll try to be clear and precise- I'll try!!

TATIZO LA CUF ni kile wanadiplomasia wa magharibi wakati fulani walikuwa wanakiita" ideological ambiguity" lakini siku hizi tunakiita "political whoring!!! there's no reason on earth you can serve 2 masters at a time - if you guys decide to be a "colonial partner" of CCM in one part of the isle you don't have to expect that people from the second part of the isle will consider u as credible CCM opposers - JUST FORGET ABOUT THAT!!! People didn't vote for you not for the helicopter issue - it's because you are no longer credible!!!!!!! Hilo ndilo tatizo kuu, yaani hata msingekuwa na heli au mngeikodi kwa pesa yenu, still watu wasingewachagua regardless how good your candidate was!!!

Nimesoma thread somewhere kwamba nafikiri naibu katibu wa CUF bara, somebody Mtatiro (samahani kama nimekosea jina) anadai kuwa CHADEMA wamejifunza mbinu chafu za CCM so nao wanahonga wapiga kura!! Kama hayo maneno yametoka kinywani kwake basi au alikuwa amelewa(which is not an excuse anyway!!) or the guy is an authentic imbecile!! I'm afraid the second option prevails...

You CUF guys, the only way of solving the "impasse" you have fallen in, is first of all decide what u wanna do in your adulthood,politically speaking you still seem to be so unprepaired at least in the mainland i.e do you want to stay in the opposition side for the rest of your life or you want to join force with others especially CHADEMA in giving a knock out jab to CCM??? In doing this you must(i mean M.U.S.T!!!!) realize that your choices and standings in Zanzibar will determine you credibility in Tanganyika - the 2 thing can't be separated!!! in any case kama mtachelewa kuamua, wapiga kura wenu wataamua kwa niaba yenu IGUNGA docet!
 
Ndugu wakigombana wewe chukua jembe ukalime. CDM mtaji mkubwa wanaodhani Zanzibar hatuna nguvu watusubiri Uchaguzi mdogo wa zanzibar watapata majibu. Peoples Poooooooooooooooooooooooooower.
 
Pia Inawezekana pia kura za CUF zimenunuliwa ili zijazie za CCM. Inawezekanaje CUF mwaka jana wapate kura 12000 halafu mwaka huu wapate 2000???!!!
 
kumbukeni movement ya pendulum bobs!!!!!!!!!!!!

images
images

Where l is the length of the pendulum between the pivot point and center of gravity, g is the gravitational acceleration, T is the period of one complete swing and phi = 22/7 or 3.14..

As the acute angle theta diminishes the bob will come to rest

Kwa mtaji wa kilichotokea kati ya CUF na CCM kule Igunga, Chama hiki kimefanikiwa kujizamisha zaidi ya futi 7,000 chini ya ardhi kisiasa na itakua ni vigumu sana CUF kuchomoka humo wala kupata kiti cha ubunge Tanzania bara:

attachment.php

Hii habari ililetwa hapa JF wiki iliyopita kama tetesi lakini sasa kadri muda unavysogea ukweli unaanza kudhihirika.

CUF wameaibika sana katika uchaguzi huu kwa kweli, na helikopta hii inathibitisha pasi na shaka kwamba CUF ni CCM-B.

Nilibahatika kuona baadhi ya speech za Jussa, Mtatiro na Hamad Rashid kupitia tv Sibuka. Walikuwa wamejikita kuishambulia chadema na viongozi wake badala ya kueleza sera, sasa watu wa igunga wakaamua kuwashikisha adabu.
 
Ahaa! Sasa naanza kupata picha. Nakumbuka kuna siku nilisoma hapa jamvini kuwa kuna jamaa alienda Nairobi kulipia hizo chopper mbili kwa ajili ya chama cha rangi ya kijani, lakini cha ajabu CUF nao wakatoka na moja! Imekula kwao!!
 
ILa kweli ukipanda vioo usitarajie kuvuna almasi,
Kuna maswali haya mi yalikuwa yananifanya niwe mwehu
1: CCM walikuwa wanadai watapeleka chopa mbili, badala yake wakapeleka moja, kuna nini hapa?
2: Ukiachana na Mtatiro huyu anayeitwa Hamad Rashid Mohamed na Ismail Jussa kwenye mikutano ya kampeni ya lala salama walitumia muda mwingi kukiponda chama cha chadema as if chadema ni chama tawala?
3: Kwani ccm wakati kampeni zinakaribia mwisho walikuwa wanajitamba sana hiki kiburi kiltoka wapi?
Kuna maswali kibao ambayo nikiyaainisha hapa yanaweza yalete mgawanyiko au kashifa kwangu
Hitimisho: Rostam wakati anajiuzulu alisema ccm kuna siasa uchwara, na sasa hizo siasa uchwara zitaanza kujidhihirisha live, kama kweli kafanya kama inavyodaiwa amejidhihirisha jinsi gani yeye anavyoweza kuicheza hii siasa uchwara mpaka kuipandikiza cuf, cuf nilikuwa nawaamini upande wa bara likini hii ndoa yao ya Zenji wameamua kuileta bara kupitia kwa
Hamad Rashid Mohamed na Ismail Jussa tena kwa kulishwa limbwata na ccm kuiponda chadema bila kuangalia athali zake, mwisho wa yote aibu imewapata nyinyi, labda na hisia zangu kuwa Lipumba kukwea pipa kwenda mamtoni kuepukana na aibu hii baada ya kugundua mchezo wenu mchafu
 
Hili lina ukweli wakuu maana awali tuliambiwa magamba wangekutumia ndege mbili lakn gafla tukasikia nao CUF watatumia ya kwao du kumbe Rostman kawakodia Kenya hii hatari sana na ndio kaburi lenu hilo
 
salamu WAKUU!
mimi sina uhakika kama "heli" waliyotumia CUF ilikuwa ni mali yao au hapana na ninafikiri kilichowanyima KURA si "heli YES - heli NO" na ugomvi huo kama kweli upo utakuwa una reflect their political incapability - i'll try to be clear and precise- I'll try!!

TATIZO LA CUF ni kile wanadiplomasia wa magharibi wakati fulani walikuwa wanakiita" ideological ambiguity" lakini siku hizi tunakiita "political whoring!!! there's no reason on earth you can serve 2 masters at a time - if you guys decide to be a "colonial partner" of CCM in one part of the isle you don't have to expect that people from the second part of the isle will consider u as credible CCM opposers - JUST FORGET ABOUT THAT!!! People didn't vote for you not for the helicopter issue - it's because you are no longer credible!!!!!!! Hilo ndilo tatizo kuu, yaani hata msingekuwa na heli au mngeikodi kwa pesa yenu, still watu wasingewachagua regardless how good your candidate was!!!

Nimesoma thread somewhere kwamba nafikiri naibu katibu wa CUF bara, somebody Mtatiro (samahani kama nimekosea jina) anadai kuwa CHADEMA wamejifunza mbinu chafu za CCM so nao wanahonga wapiga kura!! Kama hayo maneno yametoka kinywani kwake basi au alikuwa amelewa(which is not an excuse anyway!!) or the guy is an authentic imbecile!! I'm afraid the second option prevails...

You CUF guys, the only way of solving the "impasse" you have fallen in, is first of all decide what u wanna do in your adulthood,politically speaking you still seem to be so unprepaired at least in the mainland i.e do you want to stay in the opposition side for the rest of your life or you want to join force with others especially CHADEMA in giving a knock out jab to CCM??? In doing this you must(i mean M.U.S.T!!!!) realize that your choices and standings in Zanzibar will determine you credibility in Tanganyika - the 2 thing can't be separated!!! in any case kama mtachelewa kuamua, wapiga kura wenu wataamua kwa niaba yenu IGUNGA docet!

MKUU: Thank you very much indeed kwa hii post yako. Imetulia sana. Umenikosha na hiyo 'Political whoring.' kusema kweli CUF bara hawajui kabisa wamesimamia wapi na ndiyo maana inakubali kuburizwa kama C.D. (sorry to say this).

Ni aibu kwa Mtatiro na Profesa Lipumba. Pro safari aliliona hilo na akakikimbia chama bado mapemaaaaa
 
Nikifikiri sana, naona viongozi wa CUF wa Zanzibar, akiwamo Maalim Seif, wamekiingiza chama hicho katika mkenge mkubwa huku Bara katika azma yao ya kutaka ushirikiano na CCM kule. Kila mtu aliona kutaleta tatizo kubwa katika mustakabali wa chama hicho huku Bara.Viongozi hao wa Zanzibar waliangalia zaidi masilahi ya Visiwani zaidi kuliko ya huku, na ndiyo maana CUF kimekuwa kinaitwa chama cha Wapemba.
 
Kwa hali jinsi ilivyo sasa CUF inapumulia machine na mda wowote kinaweza kikafa kutokana na tabia yao ya kutumiwa kama toilet paper na baadae hutupwa! Kulikuwa kuna haja gani ya kukubali kuhongwa CHOPA na waumezenu Ccm? JULIUS MTATIRO nawe umeshakuwa tatizo mana mashambulizi yako yote unayapeleka CDM na sasa wana IGUNGA wamekuonyesha jinsi ulivyokuwa na mawazo Mgando kama BARAFU AU MTINDI
 
images
images

Where l is the length of the pendulum between the pivot point and center of gravity, g is the gravitational acceleration, T is the period of one complete swing and phi = 22/7 or 3.14..

As the acute angle theta diminishes the bob will come to rest

bro!
hauna idea umenisononesha kiasi gani you have killed my day!!!
nilipokuwa mwanafunzi wa secondary school nilikuwa nimepinda ktk maths so baada ya kuona hiyo formula na michoro nikasahau helicopter ya CUF na nikapata nightmares even though it's still day time!!! ahahahahahahahahaahahahah

you jamiiforums guys are my virtual bros and friends - u r simply fantastic!!!!!!
 
Nadhani katika CUF wapo viongozi makini ...
kiongozi makini alitakiwa ajue au ajiulize toka mwanzo, hivi gharama za helikopta kwenye chama zinatoka kwa nani? Sio kusubiri mpaka unaona helikopta hazijasaidia ndio eti mnaulizana helikopta zilitoka wapi.
 
jamania acheni kuzungumzia CUF kwani kimeshakufa kabisa na wanaokiua ni watu wa zanzibar ambao wanawaburuza CUF wa bara

cha msingi ni CUF wa bara kupitia mwenyekiti wake lipumba wakatae kuendelea kuburuzwa
 
SAID MICHAEL anajiuliza ni ndumilakuwili au twins????
I think A and B are both correct answers!! :)
 
...Nilidhani helikopta inaweza kuwavutia wapiga kura; hata hivyo, inawezekana helikopta ilitumika wakati mkakati wa kukinadi chama ulishafeli kuanzia ngazi ya juu kwenda chini! Ni kweli Mahona alipata kura zaidi ya elfu kumi kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010; hata hivyo, hakuna takwimu zozote juu ya: Je, bado wapiga kura walikuwa na mvuto na mgombea huyo? Na, je helikopta ingechangia vipi kupata kura nyingi zaidi? Inawezekana ni udhaifu wa ndani na au wa nje ya utendaji wa chama...tuwape dhana ya mashaka kwamba ushauri wa kitaalamu wa kisiasa ulihitajika kabla ya kuingia kwenye Uchaguzi Mdogo wa Igunga na hata matumizi ya helikopta! CUF na helikopta itabaki "simulizi"itakayosimuliwa kwa muda mrefu ujao kwa kuwa hata wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2010 CUF haikutumia helikopta na badala yake iliendesha mashambulizi yake ardhini...na kwa "tactic"hiyo, Lindi imepata Mh. Barwan na mwingine kutoka hukohuko! Ni wakati muafaka sasa CUF kujitathmini upya na kujipanga kwenye siasa za kweli kwa mujibu wa mazingira na hali halisi....
 
ILa kweli ukipanda vioo usitarajie kuvuna almasi,
Kuna maswali haya mi yalikuwa yananifanya niwe mwehu
1: CCM walikuwa wanadai watapeleka chopa mbili, badala yake wakapeleka moja, kuna nini hapa?
2: Ukiachana na Mtatiro huyu anayeitwa Hamad Rashid Mohamed na Ismail Jussa kwenye mikutano ya kampeni ya lala salama walitumia muda mwingi kukiponda chama cha chadema as if chadema ni chama tawala?
3: Kwani ccm wakati kampeni zinakaribia mwisho walikuwa wanajitamba sana hiki kiburi kiltoka wapi?
Kuna maswali kibao ambayo nikiyaainisha hapa yanaweza yalete mgawanyiko au kashifa kwangu
Hitimisho: Rostam wakati anajiuzulu alisema ccm kuna siasa uchwara, na sasa hizo siasa uchwara zitaanza kujidhihirisha live, kama kweli kafanya kama inavyodaiwa amejidhihirisha jinsi gani yeye anavyoweza kuicheza hii siasa uchwara mpaka kuipandikiza cuf, cuf nilikuwa nawaamini upande wa bara likini hii ndoa yao ya Zenji wameamua kuileta bara kupitia kwa
Hamad Rashid Mohamed na Ismail Jussa tena kwa kulishwa limbwata na ccm kuiponda chadema bila kuangalia athali zake, mwisho wa yote aibu imewapata nyinyi, labda na hisia zangu kuwa Lipumba kukwea pipa kwenda mamtoni kuepukana na aibu hii baada ya kugundua mchezo wenu mchafu

Laana ya Mwapalala
 
Pia Inawezekana pia kura za CUF zimenunuliwa ili zijazie za CCM. Inawezekanaje CUF mwaka jana wapate kura 12000 halafu mwaka huu wapate 2000???!!!

Naunga mkono kwa asilimia zote! Kafu walikifanya cdm ndio chama tawala na ccm ni kama updp! Wakaacha kabisa kupambana na ccm, wakaigeukia cdm. Nimepata mashaka kwamba huo cuf waliouita mtaji wao umekwenda kuisaidia biashara ya ccm na wakashinda. Hata ile habari ya mgombea wao kupigana na wananchi siku moja kabla ya uchaguzi inaonekana ni kujionyesha hafai ili wasimpigie kura. Kwakuwa walishajenga udini kwa cdm, kura ziende ccm na wamefanikiwa.
Kwangu mimi ni kwamba wanachelewesha ukombozi wa nchi kwa ubinafsi wa viongozi wao. Ukweli ni kwamba ccm haikubaliki kwa watz wengi kwa sasa na wameona tumain kwa cdm. Wakati utafika ambao hata ushirika wa namna hii utashindwa!
 
Hivi mtaji wa Cuf wa kura 11,000 ktk biashara ya uchaguzi Igunga, umeliwa, umekata au chuma ulete (ccm) wameubeba kiaina? maana Cuf walikuwa hawaishi maneno na majigambo ooh mtaji wa kura 11,000 naona umekata hadi 2000 duuu biashara ya uchaguzi bwana kweli biashara kichaa,
 
Back
Top Bottom