Igunga hali tete

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
Matokeo ya Ubunge jimbo la Igunga na Udiwani kata ya Igunga imeshindikana kutangazwa kwani imeonekana idadi ya kura ambazo ziliwapa ushindi Ndg. Kafumu kwa Ubunge na ndg. Charles kwa udiwani wote kutoka CCM kwa hisabu ya kura zote zimezidi idadi ya wapiga kura kwa baadhi ya vituo hivyo zoezi limesimama na kuna vurugu hapa mjini kwani polisi walipiga mabomu Jana na leo wamepiga tena kuwatawanya vijana ambao hawakubaliani na wizi huo wa CCM.
 
Yatakuwa ni yale masanduku ya kura fake kama kwa Silinde wa Momba!. Au uongezaji wa tarakimu kwenye takwimu au chochote.

NINAWASIHI SANA UKAWA PALE PANAPOKUWA NA SHAKA, RUDIENI KUANGALIA KURA MOJA MOJA YAMKINI MKAKUTA FAKE ZIMEIGIZWA AMA TARAKIMU ZIMEGUSHIWA.

CCM SIYO WATANZANIA.
 
Polisi na Ccm ndiyo wanaoanzishaga vurugu siku zote kwa ubabe na hila!.
 
Nacho shangazwa na NEC ni kwamba kura tunapiga kwa hiari. Afu matokeo hadi tupigwe mabomu, virungu, risasi, mateke, nk NEC acheni usenge.
 
ccm wanaiba sana huku.mosh juzi na jana tumekamata nabox ya kutosha na watuhumiwa hatukuwaachia polis kuwapa hukumu tulitoa hukumu zetu wenyewe kwa kuwapa kipigo cha uhakika ili hata uchaguz ujao wasijaribu wakitumwa
 
Matokeo ya Ubunge jimbo la Igunga na Udiwani kata ya Igunga imeshindikana kutangazwa kwani imeonekana idadi ya kura ambazo ziliwapa ushindi Ndg. Kafumu kwa Ubunge na ndg. Charles kwa udiwani wote kutoka CCM kwa hisabu ya kura zote zimezidi idadi ya wapiga kura kwa baadhi ya vituo hivyo zoezi limesimama na kuna vurugu hapa mjini kwani polisi walipiga mabomu Jana na leo wamepiga tena kuwatawanya vijana ambao hawakubaliani na wizi huo wa CCM.

Tulieni tuliiiiiii! sindano za moto ziwaingie kunako.
 
Yatakuwa ni yale masanduku ya kura fake kama kwa Silinde wa Momba!. Au uongezaji wa tarakimu kwenye takwimu au chochote.

NINAWASIHI SANA UKAWA PALE PANAPOKUWA NA SHAKA, RUDIENI KUANGALIA KURA MOJA MOJA YAMKINI MKAKUTA FAKE ZIMEIGIZWA AMA TARAKIMU ZIMEGUSHIWA.

CCM SIYO WATANZANIA.

Vipi matokeo ya Silinde
 
Matokeo ya Ubunge jimbo la Igunga na Udiwani kata ya Igunga imeshindikana kutangazwa kwani imeonekana idadi ya kura ambazo ziliwapa ushindi Ndg. Kafumu kwa Ubunge na ndg. Charles kwa udiwani wote kutoka CCM kwa hisabu ya kura zote zimezidi idadi ya wapiga kura kwa baadhi ya vituo hivyo zoezi limesimama na kuna vurugu hapa mjini kwani polisi walipiga mabomu Jana na leo wamepiga tena kuwatawanya vijana ambao hawakubaliani na wizi huo wa CCM.

Polisi wasengerema sana.
Ndio maana walikuwa wa mwisho madarasani.
Hizo ndio kazi zao.
 
Tulieni tuliiiiiii! sindano za moto ziwaingie kunako.

Sindano inawaingia maCCM kwani kuanzia asubuhi walikuwa wanasherehekea wamenyamaza ghafla na sasa hivi hawana uhakika na ushindi na Kafumu hao mawakala aliowahonga na mmoja wao kutoa siri atajutia mamilion yake kuliwa.
 
Back
Top Bottom