Igunga: $100 kwa Nape. tik tak tok....

Kama tunaelewa hivyo, kumshinikiza aende mnatafuta cha kuandika humu akizomewa au kurushiwa mawe? Labda niulize kama alivyouliza Mwanakijiji. Mbona CHADEMA hawamtaji RA kuwa alikuwa fisadi na kwamba ufisadi wake ndio umesababisha kadhia yote hii ya uchaguzi mdogo? Au Dr Slaa anakuwa na nguvu hizo akiwa MwembeYanga tu?!
Kampeni ni strategy. CHADEMA ilishamaliza kazi ya kwanza ya kuwasha moto wa ufisadi ambao ndio uliopelekea jimbo kuwa wazi, ELEWA HAPA.....jimbo kuwa wazi ni kazi ya CHADEMA, moto uliowashwa pale mwembeyanga.
 
Mkuu mi nimependa jinsi ulivyopanga hoja zako.
Usishangae atakapokuambia kuwa hana shida na hizo $100 zako na wala hazimnyimi usingizi
 
nape hatimaye ameshindwa kutimiza ahadi yake $100 goes to charity
 
Walio karibu nae wanasema atakwenda siku ya kufunga kampeni. Mjue tu kwamba Igunga wanadhani yeye na Chiligati ndio waliomkomalia mbunge wao kipenzi RA. Busara za kawaida tu zinahitajika kuisoma hali hii. Naamini Nape hajabadili msimamo wake juu ya mafisadi kwa kuwa wao hawatamsamehe milele.

Je alienda? Oh wildcard?
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....

Kweli huyu nu mwanasiasa uchwara, ameshindwa kabisa kutinga Igunga hadharani watu wamuone katibu mwenezi, yuko busy na udiwani.

Kama katibu mwenezi wa chama anashindwa kunadi mgombea ubunge anaishia ktk udiwani its too low to him. Ningekuwa mimi ningeacha siasa, lakini yeye kwakuwa anafanyia njaa ataendelea ili awe analamba vi per diem akienda kudanganya wananchi.

Dhambi ya kudanganya jukwaa itamuandama sana, ikibidi apigwe BAN
 
Tusiwe na shaka, iwapo CCM itashindwa kwenye huu uchaguzi mdogo, Nape ataenda igunga kufanya kampeni ya kumsafisha Rostam
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....

Kweli huyu nu mwanasiasa uchwara, ameshindwa kabisa kutinga Igunga hadharani watu wamuone katibu mwenezi, yuko busy na udiwani.

Kama katibu mwenezi wa chama anashindwa kunadi mgombea ubunge anaishia ktk udiwani its too low to him. Ningekuwa mimi ningeacha siasa, lakini yeye kwakuwa anafanyia njaa ataendelea ili awe analamba vi per diem akienda kudanganya wananchi.

Dhambi ya kudanganya jukwaa itamuandama sana, ikibidi apigwe BAN

Ban si vema kwa sasa lakini at least tumeelewa na Nape katuthibitihia, kwamba huko CCM kama kweli una msimamo kuhusu kushughulikia mafisadi ni lazima utoke nje ya CCM otherwise ni kuongopea wananchi tu!!!!!!!!!
 
Watu kama nape si wa kuwaacha isitoshe ni member hapa jamvini huyu ni wa kumfundisha au mmesahau asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu????mjinga ukimwacha atajiona mwelevu,huyu ni kumweleza black and white aende kwenye mtandao wa chama chake akaongee maneno kama hayo,anafanya siasa kama HOBI halafu huyu atatatua kero za wananchi au atatatua kero za TUMBO LAKE?????????ccm ilisha kosa kiongozi kiongozi kaachia usukani kaenda kuchati na abiria anaamini autopilot anadhani inatumika wakati wote hata kwenye hali mbaya ya hewa,halafu ni elimu ni ipi hiyo aliyonayo nape tofauti na ile tuliyoiona hapa jf??kama ni ile aliyounga unga mbona sio kihivyo wala hayumo kati ya wasomi.
 
hivi huyu kijana (Nnauya junior!!?????) yuko wapi sasa hivi, maana ametoa matokeo ambapo nimesoma tena humu jf kuwa kayakana baadae!
ni laana ya kula kiapo!?
 
hivi huyu kijana (Nnauya junior!!?????) yuko wapi sasa hivi, maana ametoa matokeo ambapo nimesoma tena humu jf kuwa kayakana baadae!
ni laana ya kula kiapo!?

Sasa hivi anaikana hata hii ID yake!!!!!
 
Exactly, huyo ndiye KATIBU WA ITIKADI SIASA NA UENEZI WA CHAMA TAWALA TANZANIA, God have mercy!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom