Elections 2010 Igp

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,266
1,630
Jamani mi nilishangaa saana pia nilistuka saaana kusikia eti IGP kumbe ni shemejie JK!!! Sasa wadau naomba kujua nani kaoa kwa mwenzie kati ya JK na Side.
 
Igp mwema kaoa dada yake na Kikwete, nasikia huyo mwanamke alikuwa anamdharau sana mwema kwa kutokuwa na senti, ndipo shemeji yake akaamua ampachike kwenye u Igp, not proved lakini ndio tetesi zilizopo.
 
Jamani mi nilishangaa saana pia nilistuka saaana kusikia eti IGP kumbe ni shemejie JK!!! Sasa wadau naomba kujua nani kaoa kwa mwenzie kati ya JK na Side.
Kwani ulikuwa hujui? Hawa Ghasia ni nduguye Salma. Dr. Shukuru naye ndugu. Mwema shemeji na wengine wengi wanaweza kutupa takwimu juu ya utawala huu wa kifalme.
 
Ufalme wa JK!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom