Ila wazae mipolisi Kama yeye inayopakazia wananchi kesi za uongo?Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza(r.i.p) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii
lakini vile vile, afande sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto wa aina gani
Pia mzazi anaweza kuzaa mtoto na kumlea kwenye makuzi na maadili mema ila akaja kubadilika ukubwani na kufanya vitendo viovu pasipo wazazi wake kufahamu.
Msikilize hapa Sirro akibeza uzazi wa mama zetu
View attachment 1912695
Kada mtiifu wa chama cha mapinduzi ametutokaAfande Sirro amehoji wazazi wa Hamza wanajisikiaje kuzaa mtoto aliyekuja aliyekuja kuliletea taifa balaa kubwa?!
Nawatakia sabato yenye baraka!
Pigo sana kwa wana ccmKweli Nyani haoni kaliole.... R.I.P mwana UVCCM Hamza.
Kada mtiifu wa ccmAfande Sirro amehoji wazazi wa Hamza wanajisikiaje kuzaa mtoto aliyekuja aliyekuja kuliletea taifa balaa kubwa?!
Nawatakia sabato yenye baraka!
Kada mtiifu wa ccmAfande Sirro amehoji wazazi wa Hamza wanajisikiaje kuzaa mtoto aliyekuja aliyekuja kuliletea taifa balaa kubwa?!
Nawatakia sabato yenye baraka!
Pamoja na Mambo mengine Hamza Ni gaidi. Swali intelligensia ya polisi ilikuwa wapi kumtambua gaidi mwa ccmNi kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza(r.i.p) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii
lakini vile vile, afande sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto wa aina gani
Pia mzazi anaweza kuzaa mtoto na kumlea kwenye makuzi na maadili mema ila akaja kubadilika ukubwani na kufanya vitendo viovu pasipo wazazi wake kufahamu.
Msikilize hapa Sirro akibeza uzazi wa mama zetu
View attachment 1912695
Polisi wake wanajisikiaje wanapodhurumu haki za raiaAfande Sirro amehoji wazazi wa Hamza wanajisikiaje kuzaa mtoto aliyekuja aliyekuja kuliletea taifa balaa kubwa?!
Nawatakia sabato yenye baraka!
Atupe CV na mienendo ya watoto wake kwanza ndo tutamsikilizaNi kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza(r.i.p) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii