Poa 2

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
857
1,000
Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza(r.i.p) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii

lakini vile vile, afande sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto wa aina gani

Pia mzazi anaweza kuzaa mtoto na kumlea kwenye makuzi na maadili mema ila akaja kubadilika ukubwani na kufanya vitendo viovu pasipo wazazi wake kufahamu.

Msikilize hapa Sirro akibeza uzazi wa mama zetu

View attachment 1912695
Ila wazae mipolisi Kama yeye inayopakazia wananchi kesi za uongo?
 
Retina

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
876
1,000
Wazaz wanahusika nini hapo,kuna clip inatembea jamaa anasema anamtaka inspecta wa polisi akimtaja jina kwa kuua waislamu.Kwa kauli hii toka police inaleta mshituko,operation za polisi zinaua watu wasio na hatia,wazaz hata wasihukumiwe.
 
Poa 2

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
857
1,000
Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza(r.i.p) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii

lakini vile vile, afande sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto wa aina gani

Pia mzazi anaweza kuzaa mtoto na kumlea kwenye makuzi na maadili mema ila akaja kubadilika ukubwani na kufanya vitendo viovu pasipo wazazi wake kufahamu.

Msikilize hapa Sirro akibeza uzazi wa mama zetu

View attachment 1912695
Pamoja na Mambo mengine Hamza Ni gaidi. Swali intelligensia ya polisi ilikuwa wapi kumtambua gaidi mwa ccm
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,616
2,000
Kwamba kuna mtu anachagua aina ya mtoto wa kumzaa!!!

Hivi kamanda hajui ya kwamba kuzaliwa ni jambo jingine, na kukua ni jambo jingine, na mtu kujitambua na kushika njia zake ni jambo jingine...

Mfano yeye kamanda wazazi wake walipoamua kutafuta mtoto kwanza hata hawakujua atatokea wa jinsia gani, na hata alipotokea wa kiume sidhani kama walijua huyu atakuja kuwa polisi acha tu IGP...
 
mcfm40

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,451
2,000
Lugha mbaya sana dhidi ya wazazi wa Hamza! Hii inaweza kuongeza uhasama! Hawa viongozi wetu kwa nini hawachuji kauli zao kabla ya kuzitoa? Juzi tulisikia matiti ya kina dada... leo wazazi wasizae hovyhovyo watoto km kina Hamza! Nadhani baadaye akitafakari hii kauli atajilaumu sana!
 
Felix

JF-Expert Member
Mar 9, 2014
772
1,000
Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza(r.i.p) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii

lakini vile vile, afande sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto wa aina gani

Pia mzazi anaweza kuzaa mtoto na kumlea kwenye makuzi na maadili mema ila akaja kubadilika ukubwani na kufanya vitendo viovu pasipo wazazi wake kufahamu.

Msikilize hapa Sirro akibeza uzazi wa mama zetu

View attachment 1912695
Atupe CV na mienendo ya watoto wake kwanza ndo tutamsikiliza
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
17,869
2,000
Kwa kauli hii ingekuwa waandishi wa habari wanaojielewa saa hizi wangeanza kutafuta maisha ya huyu mzee na watoto wanaishije, wamewahi kufanya blander gani nk

Ila waandishi wetu wanaweza kufunga safari kwenda kumuhoji mganga wa kienyeji tu

Tatizo waandishi waoga hawana meno
Hapa kesho tungeona kwenye Sunday news tena ukurasa wa mbele kabisa maisha ya watoto wake

Kufuru mbaya sana
Mimi ntajuaje mwanangu atakuwa nani
Mbona wao wengi wanakuwa na kuja kuwa wala rushwa wakubwa na wengine majizi nk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom