Sirro alikuwa ni miongoni mwa askari mahiri kabisa, lakini kila siku zinavyozidi kwenda anapoteza mvuto na anafanya mambo ya hovyo hovyo.
Kauli zake za hovyo hovyo.
Matendo yake nyuma ya carpet nayo ni hovyo hovyo tu.

Amekuwa mropokaji zaidi ya wanasiasa.
Amekuwa mla rushwa mkubwa kupitia maaskari wake maalum.
Note; Ma RPC wengi wamewekwa kimkakati wanamkusanyia pesa kupita kawaida na naweza kuwataja.
Na wengine ma RTO na wakaguzi magari stand zote nchini wanakusanya mzigo na kumpelekea.
Siku haya yakiwa wazi ataumbuka sana na mikelele yote hii.
Hili la trafiki wakaguzi wa magari stendi nililishuhudia mkoa wa Mara. Gari ya abiria zinazoenda pembezoni na vijijini wanatanguliza elfu tano kwa askari trafiki aliyekaa mlangoni. Alafu wanalipa buku ya ushuru wa halmashauri ndio wanaruhusiwa kupita. Ukikataa kutoa wanapigiana simu unakamatwa mbele na kulipishwa faini kubwa

Trafiki wanakusanya mapato mengi kuliko Halmashaurli waliojenga hizo stendi
 
Sirro Yuko sahihi.Ni jukumu la mzazi kuamua mtoto wake aweje.Asiyefunzwa na wazazi hufunzwa na Ulimwengu!
 
Hii ya trafiki wakaguzi wa magari stendi nililishuhudia mkoa wa Mara. Gari ya abiria zinazoenda pembezoni na vijijini wanatanguliza elfu tano kwa askari trafiki aliyekaa mlangoni. Alafu wanalipa buku ya ushuru wa halmashauri ndio wanaruhusiwa kupita.

Trafiki wanakusanya mapato mengi kuliko Halmashaurli waliojenga hizo stendi
Mbezi Magufuli terminal anakusanyiwa mamilioni kwa siku na mkuu wa standi hiyo aitwaye Samwax, lina tumbo kubwa
 
Polisi ni taasis yenye ujanja ujanja. Wanakaa kusema mambo yako shwari huku hali mtaani tunajua wenyewe. jamaa angu mmoja alichukuliwa na mteja vingunguti two weeks ago akakatwa katwa mapanga kichwani na pikipiki ikachukuliwa pamoja na kureport na kujua location nothing was done .polisi jawafanyi KAZI zao ni taasisi ina ujanja ujanja Sana
Ukitaka kujua polisi wanavyofanya kazi waambie umeona mzigo wa magendo unaingizwa kwa Musa watakuja hata kwa miguu sasa waambie kuna majambazi sehemu utasikia gari liko mbagala au ni bovu polisi badilikeni.
 
Zirro mwenyewe mtoto wake wa kiume mla unga, wakike malaya anatoa kwa mpalange.. anataka kutuambia Nini sasa?
 
Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza(r.i.p) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii

lakini vile vile, afande sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto wa aina gani

Pia mzazi anaweza kuzaa mtoto na kumlea kwenye makuzi na maadili mema ila akaja kubadilika ukubwani na kufanya vitendo viovu pasipo wazazi wake kufahamu.

Msikilize hapa Sirro akibeza uzazi wa mama zetu

View attachment 1912695
Ila wazee watoto bora kama Sirro??? eti???
 
Kuna wa Pablo Escobar pia yuko tofauti kabisa nadhani alafu kuna elements za kipunga ontop but ukweli ni kwamba jamaa kakosoa kuongea maneno yakiboya ivo, its very unprofessional.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile ap

Kuna wa Pablo Escobar pia yuko tofauti kabisa nadhani alafu kuna elements za kipunga ontop but ukweli ni kwamba jamaa kakosoa kuongea maneno yakiboya ivo, its very unprofessional.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app

Huwezi amini yule mtoto wa Pablo pamoja na anasa alizokuwa anapata kutoka kwa baba yake ila alianza kupingana na kile ambacho baba yake alikuwa anafnya akiwa bado mdogo kabisa... Sasa huyu mkuria sijui anaongea sijui nn tu...ovyo kabisa.
 
Una uhakika wazazi wa Hamza walikuwa hawasali? Kusali na sala kujibiwa mambo mawili tofauti kabisa.

Sio kila unachoomba kwa Mungu unapewa, na sio kila ulichopewa na Mungu ulikiomba.

unadhani wanajisikiaje kwa kuzaa kwao hamza wametuletea balaa kubwa!!!!
 
Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza(r.i.p) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii

lakini vile vile, afande sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto wa aina gani

Pia mzazi anaweza kuzaa mtoto na kumlea kwenye makuzi na maadili mema ila akaja kubadilika ukubwani na kufanya vitendo viovu pasipo wazazi wake kufahamu.

Msikilize hapa Sirro akibeza uzazi wa mama zetu

View attachment 1912695
Ufinyu wa mawazo,kwa jinsi alivyoongea hakustahili kuongoza jeshi, maana hakuna mtu anayezaliwa mbaya, ila Dunia na mambo yake ndio inawabadilisha watu
 
armored vehicle
Kweli kuna tatizo mahali. Kama hata armored vehicle walikuwa nayo, walishindwaje kumsogelea na kipaza sauti juu wakimtaka/kumshawishi ajisalimishe. Au hiyo vehicle hawaiamini kama ni 'armored one' maana mifumo wa manunuzi nchini nayo ina matatizo lukuki!!!
 
Ukitaka kujua polisi wanavyofanya kazi waambie umeona mzigo wa magendo unaingizwa kwa Musa watakuja hata kwa miguu sasa waambie kuna majambazi sehemu utasikia gari liko mbagala au ni bovu polisi badilikeni.
Kimsingi hili tukio la Hamza limewaadhiri polisi mchana kweupe na ndio maana hata sababu ya Hamza kuwachagua polisi tu kuwashughulikia , wako kimya mpaka sasa.
 
Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza(r.i.p) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii

lakini vile vile, afande sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto wa aina gani

Pia mzazi anaweza kuzaa mtoto na kumlea kwenye makuzi na maadili mema ila akaja kubadilika ukubwani na kufanya vitendo viovu pasipo wazazi wake kufahamu.

Msikilize hapa Sirro akibeza uzazi wa mama zetu

View attachment 1912695
Nimeshangazwa sana na kitendo cha IGP Sirro kuongea maneno ya kashfa juu ya wazazi wote hapa Tanzania kutuamuru kuwa tusizae watoto kama Hamza, hiyo si kukosa akili tu, bali na hekima. Hivi mtu kama ana akili timamu anaweza kuzungumza ujinga huu kweli? Utajuaje umezaa mtoto wa namna gani? Mbona yeye na polisi wake wanaendelea kuua watu ovyo, tangu kipindi kile cha kuokotwa miili kwenye misandarusi hadi leo wanavyoendelea kupotea watu na kuwabambikizia watu makosa ambayo hawakuyatenda? Mbona hatukumlaumu mama yake Sirro kwa kumzaa yeye, liuaji likubwa pamoja na lisura lake la kutisha? Aache double standard huyo Zero! Aliyeua polisi ni Hamza, siyo mama yake au ndugu zake.
 
Back
Top Bottom