IGP Sirro umeonesha Unafiki mkubwa sana na Kuidharau Mamlaka kupitia Waziri wa Afya Dkt. Gwajima

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Ama unazeeka vibaya au una Maslahi na Gaidi wa Kiimani Askofu Gwajima au nawe pia upo katika lile Genge lenu la Waandamizi 9 au umeichoka hiyo Nafasi na unalazimisha Kustaafishwa au umeamua sasa kuonyesha Chuki yako kwa Bosi wako Rais Samia Suluhu Hassan.

Leo hii unaambiwa na sehemu ya Mamlaka kuwa mkamate Gaidi wa Kiimani Askofu Gwajima unaleta sababu nyingi je, hizo Oparesheni zingine ambazo huwa unazifanya kwa Wapinzani nchini hasa CHADEMA una uhakika huwa unapokea Maelekezo au huwa ni Kiherehere chako tu?

Nimalizie tu kwa kusema popote pale ulipo Rais Samia Suluhu Hassan kuwa pamoja na kwamba unatuongoza ila nimegundua kuwa una Maadui wengi ndani ya Serikali, System na CCM kwenyewe kuliko walioko Upinzani kwa akina Mbowe mnaowabatiza Magaidi wakati hata hawa akina IGP Afande Sirro nao ni Shadow Terrorists vile vile.

TISS tafadhali mshaurini Rais ipasavyo.
 
Wa mshauri ili iweje,kwa ilipi jema sana kafanya kwenye hii miezi 5 iliyo pita zaidi ya watu kujenga barabara kwa billioni 5 kwa kilometer 1.
Kwahiyo labda Kwako Wewe lipi jema wamshauri ili Ubadhirifu huo ukome au waache uendelee ili uwape Wapinzani cha kusemea katika Kampeni za 2025? Tumia Akili tafadhali sawa?
 
Kwahiyo labda Kwako Wewe lipi jema wamshauri ili Ubadhirifu huo ukome au waache uendelee ili uwape Wapinzani cha kusemea katika Kampeni za 2025? Tumia Akili tafadhali sawa?
Mm c.c.m nimeichoka kwa akili yako wewe unaona ni sawa,kwanza nimekuzalau ulipo sema kuhusu wapinzani haya yanayo endelea kama wapinzani wangekuwepo bungeni ina wezekana kabisa yasinge pitishwa wangesaidia kupiga kelele, sasa hv hakuna wakutusaidia tumekua kama watoto yatima ccm wakiamua lolote lina kua, bila kujali maisha ya watu wa chini acha kujitoa ufahamu ata kama wewe una nufaika fikilia na kizazi chako,hivi karibuni umesha jalibu kutuma hela kwa mama yako kijijini ukaona maumivu au unaropoka tu.
 
IGP kosa lake kuwa na double standards ikija suala la chama fulani anahangaika mpaka kwenda kuvunja milango akamate watu lakini chama chake anataka mpaka aelekezwe kwa barua , hii nchi ina mambo ya kustaajabisha sana, mbona Sugu ilipotolewa amri akamatwe mbeya tena na mkuu tu wa mkoa haikuchukua round jamaa akawa ndani kwanini hawakumtaka RC aandike, Polisisiemu ni janga kubwa nchi hii wanajidhalilisha sana na kujipendekeza, nilishasema mwaka huu akitoboa huyo siro mtakuja kunishukuru
 
Gaidi wa Kiimani Askofu Gwajima kaua watu wangapi?
Unalete taarifa za uchochezi. Yesu wetu ana Nguvu kuliko hata hao Majini wako. Ukiona IGP anachelewa kwenda kumkamata. Waambie Majin wako waende kumkamata
 
Kijana unajua utaratibu wa jeshi la polis had kumkamata mtu? Ebu nenda kale maharagwee kwanza.
Jeshi halifanyi kaz kwa kufuata matamko ya kipuuz puuz kwenye majukwaa ya kisiasa. Jeshi halifanyi kazi kwa kuskiliza mipasho ya mtu.
 
Anamkingia kifua mtu anapotosha juhudi za serekali za kulinda afya za watu wake huenda kuwepo kwenye kijani ndio kunabeba mtumishi wa Mungu vinginevyo.
 
Nadhani IGP kapata maelekezo kutoka kwa mamlaka iliyomteua Waziri Gwajima.
 
Suala la chanjo bado kuna utata hapo ......

Kuna ombwe kubwa hapo lipo

Yaweza kuwa Vipande thelathini vya sarafu ya kirumi kwa majaribio ya madude yao kwenye miili ya viumbe hai.
 
Back
Top Bottom