comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,171
- 5,905
Afande Sirro anapingwa kila kona kwa kauli yake wakati wa kuuanga miili ya askari wake walio uliwa kibudu na Hamza. Wengi wao wanaelekea kumhurumia Hamza zaidi bila kujali kuwe yeye (Hamza) kauwa watu watatu- ambao walikuwa wapo kazini kutulinda sisi.
Wanaompinga na kumzodoa Sirro wanasukumwa na dhana kuwa Polisi wa Sirro walimdhulumu Hamza. Mpaka sasa hivi hakuna aliyekuja na ushahidi wa kuonyesha dhuruma ya polisi dhidi ya Hamza.
Huko nyuma waliwahi uliwa wafanyabiashara wa madini- watu walipiga kelele na kuja na ushahidi na serikali ilichukua hatua na wahusika wakafikishwa mbele ya sheria. Wanaujua ukweli wa dhuruma ya polisi wa Sirro wajitokeze ili Hamnza apate haki yake.
Dhana moja tu inayombana Sirro- ni kuwa yeye ni mkubwa, ni mamlaka na ukubwa ni jalala