Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,617
Kila mtu anajua kuwa trafic ni tatizo kubwa lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwaKelele zinasaidia mwenye Mamlaka kuamka!! Nakumbuka 2016 Makonda alitoa agizo polisi wa usalama barabarani waongezwe Mara kumi zaidi!! Hadi polisi wa kulinda RAIA na Mali zao wakakosekana!! Sasa ni Muda muafaka kuwarudisha kwenye majukumu ya awali kupunguza usumbufu barabarani, Polisi watatu wanalinda taa nyekundu kukamata anaye jisahau!?