IGP Sirro ni mjanja, nafikiri kesi ya Sabaya unaleta matokeo chanya kwa wenye Mamlaka

Huyu waziri ana mamlaka ipi ya kuagiza majeshi yote?

Hawezi kuendelea kukaa kwenye nafasi yake hiyo maana ameingiza mambo binafsi
1. Mrembo na mkono wa baunsa
2. Kumfufua Amina Chifupa
3. Kwamba alikuwa Chadema akarejea CCM na sasa yuko tayari kurejea huko alikotoka

Haya yana uhusiano gani wa maelekezo kwa majeshi yote kumkamata Ask. Gwajima?

Hivi waziri unajivika mamlaka ya kuanza kupambana na kiongozi wa kiroho bila haya na jeuri kwamba wewe unatumia dola?

Yeye uwaziri ameupata baada ya kuteuliwa na rais kupitia nafasi kumi ukilinganisha na anayemshambulia aliyechaguliwa na wananchi?

Huyu kweli anajiona ana uelewa mpana sana kuliko watu wengine kisa cheo cha waziri na taaluma ya udaktari?

Hivi kiongozi ni lazima awe amesoma kumzidi anayemwongoza?

Hivi vyombo vya usalama vinatumika kumnyamazisha anayekosoa kwa nia ya kujenga?

Safari ya waziri imefika ukingoni wananchi hawaongozwi kama walivyokuwa wanatawaliwa Afghastan, mwisho wa siku huyo unayetunishia misuli kesho anakuja kuwa bosi wako utaomba radhi au utajiua?

Viongozi waheshimuni mnaowaongoza watawaunga mkono bila hivyo msahau kwamba mtafuta kile kilichowekwa kwenye vichwa vya watu narais aliyepita. Mtatumia dola lakini hata wao watafika mwisho na kukataa kutumika kufanikisha uonevu

ACHENI Mara moja Kutishia wananchi
 
Back
Top Bottom