IGP Sirro na wenzako kuna la kujifunza kutoka kwenye kisa cha Nelson Mandela

Mbowe hajakojolewa.hata polisi wanamhandle kwa adabu sana.

Ukidhani polisi ni wajinga sana nakukumbusha tu.
* Waliishamkamata sabaya kama mhalifu,akaja kuwa DC hai.

* waliishamkamata kigwangala kwenye maandamano,akaja kuwa waziri wizara mbili mfululizo.

Inawezekana kabisa wanamjua mbowe vizuri sana,kuliko nyinyi mnamjua kama mwenyekiti peke yake.
Mkuu, you are missing a point. Sabaya alikamatwa akiwa chama gani? Kigwangala alikamatwa akiwa chama gani? Na Mbowe yuko chama gani?

You must notice the difference. Hao police hata wawakamate vipi hao na wengine, provided ni wa CCM, they know how to handle the matter. Inapokuja kwa hawa wa opposition parties kamata na handling yake zinakwenda kiitikadi. Elewa hiyo tofauti kwanza, ndipo ujadili hoja yako.
 
Back
Top Bottom