Lisaidie taifa kwa kupeleka ushahidi polisi hao vijana wadhibitiwe.Vijana wengi wnaauza madawa wazibitiwe
WanawafahamuLisaidie taifa kwa kupeleka ushahidi polisi hao vijana wadhibitiwe.
Sasa kama wanawafahamu na wao ndiyo wakuhusika kuondoa tatizo kwenye comment yako iliandika wadhibitiwe sasa wadhibitiwe na nani?Wanawafahamu
Ashakum si matusi.. U Bado mtoto au mgeni mjini ndio maana unaniuliza hivyoSasa kama wanawafahamu na wao ndiyo wakuhusika kuondoa tatizo kwenye comment yako iliandika wadhibitiwe sasa wadhibitiwe na nani?
Wewe ni mkubwa kweli kweli brother, ila nimekuomba ujibu nilichouliza.Ashakum si matusi.. U Bado mtoto au mgeni mjini ndio maana unaniuliza hivyo
Sio kila kitu cha kujibu.Wewe ni mkubwa kweli kweli brother, ila nimekuomba ujibu nilichouliza.
Pamoja mkuu.Sio kila kitu cha kujibu.
Asante
Mchana mwemaPamoja mkuu.
25 August 2021
Dar es Salaam, Tanzania
Tukio mtu asiyejulikana akifyatua risasi katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam
Tukio la Leo linaonesha jinsi ya umuhimu wa utayari na pia wananchi waelimishwe nini cha kufanya kukitokea kihalifu.
Source : Global TV online
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja mkoa wa Kipolisi wa kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia pikipiki yakiwa yameongezeka huku uhalifu mwingine mkubwa wa kutumia silaha za moto ukiwa umeshuka.
IGP Sirro amesema hayo jijini Dar es salaam, wakati akizungumza na Wenyekiti wa Serikali za Mitaa, watendaji Kata, pamoja na watendaji wa vikundi vya ulinzi shirikishi ambapo amewataka watendaji wote kutimiza wajibu wao kwa kuhakikisha usalama unaendelea kuimarishwa.
Aidha, IGP Sirro ametoa muda wa wiki moja kuhakikisha wanakomesha vya kihalifu kwa kushirikiana na watendaji wengine huku akitoa wito kwa mgambo kuacha kujiingiza kwenye vitendo vya rushwa.
“Tutaendelea kutekeleza wajibu wetu kwa kuzingatia uzalendo, taratibu na kanuni na kuhakikisha maeneo yatu na wananchi tunaowahudumia yanakuwa salama”,amejibu Mohamed Mawal, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tegeta huku Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mlalakuwa Suleiman Masare, akiahidi kutoa pikipiki mpya kwa Kituo cha Polisi Chuo Kikuu itakayosaidia kurahisisha utoaji wa huduma za kipolisi kwa wananchi.
Kabla ya kukutana na watendaji wa serikali za mitaa na watendaji wa kata na watendaji wa vikundi vya ulinzi shirikishi pia IGP Sirro, alifanya kikao kazi na maofisa na askari wa Jeshi hilo ambapo aliwataka kuendelea kutimiza wajibu wao na kuwachukulia hatua kali wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu.
Chanzo: Watetezi