IGP Sirro, kamata kwanza waliompiga Lissu risasi, amani ndio itakuja

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,147
33,300
Sirro unahangaika sana kuongea na VIONGOZi wa dini juu ya amani yetu baada au wakati wa Uchaguzi.

Wewe ni mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. Nakuomba kwanza ili uaminike kamata kwanza waliomshambulia Lissu.

Muulize Lissu akutajie prime suspect nahisi atakua anawajua ndipo makachero wako wanze kuwahoji.

Pia Mzee Siro waambie Serikali waweke tume ya Uchaguzi inayokubaliwa na vyama vyote.

Pia iombe Serikali iruhusu viongozi wa dini wasimamie Uchaguzi.

Pia iambie Serikali iruhusu vyombo vya habari vitangaze habari za Lissu.

Itake tume ya Taifa ya Uchaguzi iache kumpendelea mgombea wa chama chochote cha siasa.

Mwisho kabisa itake tume ya Taifa ya Uchaguzi siku ya kusoma matokeo imtangaze Mshindi halali wa Uchaguzi hapa ndipo utakua umezuia uvunjifu wa amani.
 
😂😂 Hajipendi?

ila uongo mbaya hadi namuonea huruma Sirro maana saivi kaishia kuwafokea viongozi wa dini ambao ni wajasiliamali wa dini wa CCM. Kazi anayo mwaka huu😂😂
 
Si utafute contacts zake umpe huu ushauri? au uko na lengo gani kuleta hapa?
 
Sirro unahangaika sana kuongea na VIONGOZi wa dini juu ya amani yetu baada au wakati wa Uchaguzi.

Wewe ni mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. Nakuomba kwanza ili uaminike kamata kwanza waliomshambulia Lissu.

Muulize Lissu akutajie prime suspect nahisi atakua anawajua ndipo makachero wako wanze kuwahoji.

Pia Mzee Siro waambie Serikali waweke tume ya Uchaguzi inayokubaliwa na vyama vyote.

Pia iombe Serikali iruhusu viongozi wa dini wasimamie Uchaguzi.

Pia iambie Serikali iruhusu vyombo vya habari vitangaze habari za Lissu.

Itake tume ya Taifa ya Uchaguzi iache kumpendelea mgombea wa chama chochote cha siasa.

Mwisho kabisa itake tume ya Taifa ya Uchaguzi siku ya kusoma matokeo imtangaze Mshindi halali wa Uchaguzi hapa ndipo utakua umezuia uvunjifu wa amani.
GREAT POST.
 
Hivi kwa nini wanakimbilia kwenye amani bila kuanzia kwenye haki? Amani ni tunda la haki, hakuna haki hakuna amani.
 
Back
Top Bottom