IGP Sirro jitihada za kudhibiti uhalifu wa CHADEMA zisiishie kwa viongozi, kamata na wafuasi wao wanaotaka kuharibu amani

Nini hapo unashangaa.

Kuliwa kichwa kwa kijana wenu mpendwa:

IMG_20210814_115652_056.jpg

Corporal mpelelezi mzalendo!
 
IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni.

Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja amani. Usiishie kwa viongozi tu. Kamata weka ndani na wafuasi wao ambao wanamakundi ambayo yanahamasisha uvunjifu wa amani

Najua kwa kutumia teknolojia mtawapata kiulaini kabisa.

Awii...
Kweli mkuu. Naona aanze nawe kwa kuhamasisha uharamu.
 
IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni.

Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja amani. Usiishie kwa viongozi tu. Kamata weka ndani na wafuasi wao ambao wanamakundi ambayo yanahamasisha uvunjifu wa amani

Najua kwa kutumia teknolojia mtawapata kiulaini kabisa.

Awii...
Liwa ban Mamaaaaaaae
 
Umekula munyororo..ahaha
 
Back
Top Bottom