IGP Sirro, hawa askari wanaojilipua vichwa kwa SMG kuna siku watakushangaza

Tang Zhou

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,206
2,587
Hii ni wake up call kwa IGP pengine na "Mamlaka yake ya Uteuzi"...huu mfululizo wa mauaji ya askari polisi wanaojipasua vichwa kwa SMG mnazowapa kwenda nazo lindoni, au siku nyingine kuizunguka Mahakama ya Kisutu mnapomkamata Lissu, au Mbowe, au Zitto, au Mdee, au Mtatiro, au kumtisha Nape...iko siku hamtaamini mlichokiona...

Askari Polisi wamejaa msongo wa mawazo....Sasa kama mnazo akili fanyieni kazi maslahi ya Polisi, msiwe mnaishia kugharamia mazishi yao na kusubiri wengine nao wapasue vichwa, vinywa ama mataya yao kwa SMG...

Na kwa Jiwe in particular, zingatia kabisa maslahi ya majeshi, na heshimu tu wajibu wao...yasitokee kama yale ya Lugola kuachwa amdhalilishe Kamishna wa Jeshi la Magereza...askari wamejawa na "FRASTRESHENI ZAO" kuliko wewe baba, don't take it for granted...iko siku watakushangazeni...MARK THIS THREAD!

Soma zaidi

Polisi watatu wajiua kwa risasi ndani ya saa 48
 
Asiyethamini uhai wake mwenyewe, hawezi kuuthamini uhai wa mwingine.

Mohamed Atta, gaidi kiongozi aliyeongoza operesheni ya Septemba 11 nchini Marekani aliandika na kuacha wosia huu, "Katika dunia ambamo wengi wanakiogopa kifo; yule anakipenda kifo ni shujaa".

Zingatia, chukua hatia.
 
Asiyethamini uhai wake mwenyewe, hawezi kuuthamini uhai wa mwingine.

Mohamed Atta, gaidi kiongozi aliyeongoza operesheni ya Septemba 11 nchini Marekani aliandika na kuacha wosia huu, "Katika dunia ambamo wengi wanakiogopa kifo; yule anakipenda kifo ni shujaa".

Zingatia, chukua hatia.
Jiwe ndio nini?
 
Ila tukidai haki yetu sisi wanainchi na ustawi wetu wao wanatupiga risasi za miguu na kuzipiga juu kisha zinarudi kutuua

Nasema hiviii wajipige wote risasi mpaka akili ziwakae vizuri. Jana nilipita pale line polis moshi nikakuta chemba zinatema balaa pachafu alafu naskia afande anataka kujitolea arekebishe sewer eti zisitoe harufu. PUMBAFU!!! ATA MKILALA CHOONI WE DO NOT CARE. Mna mastess alafu bado mtushughulikie na marisasi mkufe kabisa kama mlibinya haki
 
awamu hii Polisi wameondolewa kila nafuu walizowekewa na Kikwete , maduka ya bei nafuu yale waliyokuwa wanakopeshwa hata mabati ya kuezekea vibanda vyao huko Kitunda na Kibaha yamefutwa , hata tule tubia twa bei rahisi tule walitokuwa wanakunywa kwa bei rahisi nato tumefutiliwa mbali , sasa hivi wengi wamerudi tena kwenye gongo Keko Mwanga !
 
Ooooh sasi jabela mtwe, sasi ooooh sasi jabela mtwe
Ipo siku watachoka kupasua vichwa vyao wataamua kupasua vichwa vya watu wengine
 
Back
Top Bottom