1. Kwa nafasi aliyonayo Mbowe na anavyoonekana kwa watu anaweza kufanya hayo anayotuhumiwa kuyafanya?

2. Kama laki sita (600, 000) zinaonekana hazitoshi kufadhili ugaidi je kiasi hicho kinaweza kuwa malipo ya mshahara wa makomandoo watatu walioajiriwa kama VIP PROTECTION ya mtu muhimu kama Mbowe?

3. Kama mtu amekaa kwenye kiti anawezaje kuchomwa bisibisi matakoni?
Hilo la mwisho naona umeyumba mkuu maana shahidi anasema alikuwa achomwa bisibisi matakoni na wakayi mingine mikononi.
 
Kuna mambo hayahitaji Masters kung’amua, sidhani kama ukitaka kwenda kusikiliza kesi mahakamani utaulizwa hayo maswali yako uliyoyatoa. Logic haifichiki kwa mtu yeyote mwenye common sense.
Kuna watu wengine wanafurahia mateso ya wanadamu wenzao kisa itikadi za kisiasa.
 
1. Kwa nafasi aliyonayo Mbowe na anavyoonekana kwa watu anaweza kufanya hayo anayotuhumiwa kuyafanya?

2. Kama laki sita (600, 000) zinaonekana hazitoshi kufadhili ugaidi je kiasi hicho kinaweza kuwa malipo ya mshahara wa makomandoo watatu walioajiriwa kama VIP PROTECTION ya mtu muhimu kama Mbowe?

3. Kama mtu amekaa kwenye kiti anawezaje kuchomwa bisibisi matakoni?
Bila shaka wewe una akili ndogo sana???? Uwezo wako wa kudadisi ni wa standard 2. We hujawahi hata kukamatwa na mgambo una binafsi vitako hapo????
Embu iacheni mahakama iwe huru kila saa mbowe mbowe huna cha maana kuandika unatujazia ujinga na maswali yako ya kujinga hapa?
Ficha ujinga wako kule
 
1. Kwa nafasi aliyonayo Mbowe na anavyoonekana kwa watu anaweza kufanya hayo anayotuhumiwa kuyafanya?

2. Kama laki sita (600, 000) zinaonekana hazitoshi kufadhili ugaidi je kiasi hicho kinaweza kuwa malipo ya mshahara wa makomandoo watatu walioajiriwa kama VIP PROTECTION ya mtu muhimu kama Mbowe?

3. Kama mtu amekaa kwenye kiti anawezaje kuchomwa bisibisi matakoni?
Ukikikaa kwani matako yote yanajificha?
Nani kakwambia ile laki sita ni mishahara na siyo mathalan fedha ya lunch?
Kwa muonekano wa Mbowe unadhani ni mtu anayefikiria kutumia watu watatu kufanya nchi isitawalike?
Kesi ya kipumbavu nawe unafahamu hivyo😎
 
Hilo la mwisho naona umeyumba mkuu maana shahidi anasema alikuwa achomwa bisibisi matakoni na wakayi mingine mikononi.
Mkuu inaelekea watu wengi hamjui matako na yako wapi kwenye mwili
 
Ukikikaa kwani matako yote yanajificha?
Nani kakwambia ile laki sita ni mishahara na siyo mathalan fedha ya lunch?
Kwa muonekano wa Mbowe unadhani ni mtu anayefikiria kutumia watu watatu kufanya nchi isitawalike?
Kesi ya kipumbavu nawe unafahamu hivyo😎
55649021-3d-man-with-hemorrhoids-.jpg

Haya yaliyoshikwa ndiyo matako au makalio- tukikaa hayaonekani- kwa maana nyingine hayawezi kuchomwa na bisibisi mtu akiwa amekaa
 
Kuna watu wengine wanafurahia mateso ya wanadamu wenzao kisa itikadi za kisiasa.
Usisahau watu waliokuwa wakitoa dhihaka kwa familia ya Magu baada ya kufiwa na mpendwa wao, May I assure you that things will never be the same again.
 
John amrema Mkurugenzi wa Mawasiliano Chadema alisema wakati alipo kamatwa na Jeshi la Polisi, alisema hivi;

" Mwenyekiti ni binaadamu kama walivyo wengine, hatuwezi kujua mambo yake yote ya siri,.........huenda alikuwa ni vitu alituficha sisi hatukuvifahamu..........."

Uhalifu ni mkakati wa Siri, tuache mahakama ifanye kazi yake.
 
ndiyo maana jamaa kakaa kimya
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

Mimi binafsi naamini katika haki na haki huwa haipindishwi.

Freeman Mbowe alikuwa na kaka yake ambae alikuwa kanali wa Jwtz. Alipofariki serikali nzima ilienda kumhani. Hii sio justification kuwa hana hatia.

Lakini kwa namna familia yao ilivyo na influence ya kisiasa hapa Tanzania ni wazi kuwa walikuwa wanafuatiliwa kwa kila nyendo zao. Kupatikana na tuhuma za ugaidi baada ya vuguvugu za katiba mpya kupamba moto inatia shaka.

Kesi yake juu ugaidi inaonyesha kuwa kuna mvua zinakuja.

Mvua za mahakama za Tanzania huwa hazitabiriki. Uwe na kosa au hauna kosa zinakunyeshea.

Swali, je mtakenua meno na kufurahi kama mlivyofurahia juu ya Sabaya?

My take: Sabaya alimdhibiti Mbowe Hai mkajenga chuki mbaya sana.
 
Mimi sitaki

Mimi sitaki MBOWE afungwe, nataka ahukumiwe kunyongwa, au kifo Cha kupigwa na bakora Hadi umauti umkute. Kumfunga GAIDI ni kumpendelea.
Au unaonaje Mkuu Idugunde?

Si tutafanya bonge la party sisi makada wa CCM?

Halafu nchi itakuwa imetulia tuliiiii upinzani kwisha kabisa habari yake
 
Back
Top Bottom