Naibu waziri wa mambo ya siasa U.S.A amekutana na viongozi wakuu wa upinzani kikiwemo chama chenye mtuhumiwa wa UGAIDI.

GAIDI ni hatari nchini na nje ya nchi,Iweje MTU huyu kukaa na watu wenye itikadi za kigaidi?
IGP kwanini usiwe unakaa na wapinzani kuliko kuwavunja miguu,ni yupi unayemtumikia yeye na Mali zake.
Sirro=O°
 
Naona unajichanganya mwenyewe umesema mtuhumiwa. Mtu yeyote anaweza kutujumiwa na lolote!
 
Kama hautokuwa na kazi ya kufanya kesho, basi futilia kesi yake ili kujua sababu ya kukamatwa kwake na kushtakiwa. Mimi sio polisi wala mwanasheria wa serikali ndio maana kweny comment yang nimetumia neno "huenda"
Inaonyesha hujui lolote kuhusu sakata la hii kesi ya mbowe,
 
Naibu waziri wa mambo ya siasa U.S.A amekutana na viongozi wakuu wa upinzani kikiwemo chama chenye mtuhumiwa wa UGAIDI.

GAIDI ni hatari nchini na nje ya nchi,Iweje MTU huyu kukaa na watu wenye itikadi za kigaidi?
IGP kwanini usiwe unakaa na wapinzani kuliko kuwavunja miguu,ni yupi unayemtumikia yeye na Mali zake.
IGP wa ovyo sana huyu..
Akistaafu utasikia anapewa Ubunge.
 
Ni wakat wa sukuma gang nao kupumua, maana wkt Na
Baada ya msiba wa jiwe walitamani kuhama nchi,

Haya furahini Na nyinyi nzi wa kijani
 
Ugaidi gani ?! . Uliwahi kuonyeshwa gari iliyotumika kumteka Moo . Habari zake zikoje ?!. Si ni huyu huyu anayewabatiza watu leo UGAIDI ?!
(Ccm mwigulu and co.)Waliwahi kumtengenezea kesi ya ugaidi lwakatare, wakamtumia Dogo anaitwa ludovic wakarekodi video ikiwaonyesha wakipanga kumteka msaki na zito

Baada ya kesi kukosa ushahidi wakaifuta watuhumiwa wakawa huru lengo lao la kuiua cdm likashindwa,

cdm ikashamiri zaidi 2010 ikashinda uchaguzi

Tumeishawazoea kwa michezo yao ya kipuuzi na Hili la mbowe watashindwa kwa aibu

Tunajua wataleta
1.mashahidi wa kuhonga
2. Video feki za kuchonga
3. Picha za kuungaunga

Hata Cuf wakati ule wa mahita, polisi waliwatuhumu kuingiza contena la vissu.
Mwishowe ilibainika kuwa ilikuwa ni usanii
 
Naibu waziri wa mambo ya siasa U.S.A amekutana na viongozi wakuu wa upinzani kikiwemo chama chenye mtuhumiwa wa UGAIDI.

GAIDI ni hatari nchini na nje ya nchi,Iweje MTU huyu kukaa na watu wenye itikadi za kigaidi?
IGP kwanini usiwe unakaa na wapinzani kuliko kuwavunja miguu,ni yupi unayemtumikia yeye na Mali zake.
Utakuwaje IGP bila kuwa na kadi ya CCM?
 
Raisi Samia hahusiki na chochote. Mbowe kaanza kushutumiwa au kuhusishwa na umafia dhidi ya wenzake muda mrefu sana kabla mama Samia hajawa hata makamu wa raisi.

Mbowe alihusishwa na kifo cha chacha wangwe baada ya chacha kuonesha nia ya kutaka kupambana nae kwenye uenyekiti wa chama, Mbowe kahusishwa na lile sakata la kutaka kummaliza Zito na sumu bahati nzuri mmanyema yule kachanjiwa na kuzindikwa barabara huko kwao ujiji.

Mbowe kahusishwa na kupotea kwa Ben saa8 baada ya kufika ofisini kwake na kupotea katika mazingira ya kutatanisha, hapo hatujaweka zile shutuma za kushambuliwa Lisu baada ya kuonekana anaweza kupindua meza kabla ya uchaguzi mkuu wa chama kufika nk. Kwahiyo huyu jamaa anashutuma nyingi na kwahiyo vyombo vya dola vimeamua sasa vimkamate ili kumchunguza kwa shutuma zote anazohusishwa nazo.
Kimbe unajua alipo ukiwa Ndugu yangu. Ben saa nane. Tunaomba utusaidie.
 
Naibu waziri wa mambo ya siasa U.S.A amekutana na viongozi wakuu wa upinzani kikiwemo chama chenye mtuhumiwa wa UGAIDI.

GAIDI ni hatari nchini na nje ya nchi,Iweje MTU huyu kukaa na watu wenye itikadi za kigaidi?
IGP kwanini usiwe unakaa na wapinzani kuliko kuwavunja miguu,ni yupi unayemtumikia yeye na Mali zake.
Amekaa nao kwa sababu gaidi mkuu ( master mind) yuko ndani gerezani. Angekuwa nje asingethubutu kamwe kusogea karibu na alipo,...Wee kila nchi na kila mtu anaogopa gaidi. Tunaishukuru serikali inawaweka ndani na hivyo kufanya amani iwepo mitaani.Hata wageni wetu wanajiachia.
 
View attachment 1877322
IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano. Akiwa katika mkutano huo SIrro alisema yafuatayo:

“CHADEMA wanaona Mwenyekiti wao (Mbowe) ameonewa na wanasema hawezi kuwa hivyo wanamuona ni Malaika hawezi kufanya kosa”

“Kabla ya Uchaguzi nilisema kuna Watu wamepanga kuhakikisha Uchaguzi haufanyiki, nilisema kuna baadhi ya Watu wamepanga kulipua visima vya mafuta na kufanya mauaji ya Viongozi na nilisema tutawakamata kabla hawajafanya hivyo”

“Tuliwakamata kabla, hayo ya Mwenyekiti wao (Mbowe) sitaki kuzungumzia sana lipo Mahakama ila wajue yeye ni Binadamu kama Binadamu wengine na anaweza kufanya kosa tumempeleka Mahakamani tuache Mahakama itimize wajibu wake”

“Kama kweli ni mkweli Mwenyekiti wao (Mbowe) na anamuamini Mungu waende wamuulize habari hiyo, kuna mambo unaweza kuyafanya kwamba ni siri lakini ndio mana Vyombo vya Habari vipo, niwaombe Watanzania wenzangu usilolijua ni kama usiku wa giza usiingie kwenye mtego ambao hujui aliyeutega ana jambo gani”

“Waende wamuulize huyo Mtu tuliyempeleka Mahakamani (Mbowe) kwamba hili jambo unalijua na kama ni ukweli ana Dini yake na anamjua Yesu Kristo aende aaambiwe, tunamuonea kwa lipi ?, tupate nini?, tuna ushahidi wa kutosha tuache Mahakama iamue, kafanya Yes hakufanya Yes lakini habari ya kikundi cha Watu kusema tunataka kuandamana wewe ni nani Bro!? hiyo nafasi hauna”

Awaonya Wanaotaka kuandamana
“Niwaombe Watanzania tuache wale Watu wachache ambao wanataka kupambana na Serikali wapambane nayo labda wana sababu zake lakini Mtu wenye hekima na busara anielewe, lakini kikubwa kama wameandaa kwenda Canada au Marekani wajiandae ila hatuwezi kuruhusu Watu wachache wavuruge Nchi kwasababu wamekosa madaraka”

“Habari ya kusema mnataka kuandamana mnavunja sheria na ukivunja sheria usilaumu Jeshi, ukivunja sheria umeingia kwenye uhalifu, Sirro hatokuacha na Polisi hawatokuacha na ndio maana wanafanya siasa kwa sababu amani na utulivu upo, Sisi hatufanyi Siasa”

“Niwaombe Watanzania ambao wameambiwa mkusanyike kutoka Mara kutoka wapi sijui na muelewe Mahakamana ni kituo nyeti ni kama Kituo cha Polisi ukitaka kuvamia utakung’utwa kwa mujibu wa sheria sababu umetaka sasa kama kuna Mtu maisha yamemshinda aje ila asije kulalamika, hii kesi iko Mahakamani tuiachie Mahakama iamue”
Huyu wa milembe nae.
Mwendazake si alisema anateua vichaa kama yeye?
Mama be careful uko na vichaa
 
Naibu waziri wa mambo ya siasa U.S.A amekutana na viongozi wakuu wa upinzani kikiwemo chama chenye mtuhumiwa wa UGAIDI.

GAIDI ni hatari nchini na nje ya nchi,Iweje MTU huyu kukaa na watu wenye itikadi za kigaidi?

IGP kwanini usiwe unakaa na wapinzani kuliko kuwavunja miguu, ni yupi unayemtumikia yeye na Mali zake.
Mgeni kakaa na katibu wa chadema
20210804_194500.jpg
 
Polisi hawawezi kuthibitisha ugaidi wa Mbowe hata siku moja. Hiyo kesi itaisha kiulaini tu.
Hamna haja kuwapa nafasi Polisi kesho ya kuwapiga na kuwakamata. Msimpe nafasi shetani. Hapo wanatafuta sababu ya kuwaonyesha watanzania kuwa nyie ni waovu ikibidi wafute chama chenu.
Tulieni nyumbani Mbowe hana kesi wala Polisi hawawezi kuthibitisha.
Wamejipanga kuwapiga kweri kweri na nyie msivyojua kusoma alama za nyakati mtajipeleka mdomoni kwa shetani zero.

EFESO 4:27 MSIMPE SHETANI NAFASI.
 
Back
Top Bottom