IGP Sirro amtaka kijana anaitwa Shabani anaeonekana kwenye video akitishia mtu mwingine kwa bastola kujisalimisha polisi haraka sana

Kwani hasa shida ilikua nini???
Maana kwa hasira zile za bwana Shabaani ni wazi alichezewa sharubu.
 
Huyu ni mume wa zamaradi mketema,na mtoto wa dada yake na waziri mku wa nchi hii.hapo hamna kesi funika kombe mwanaharamu apite!! Jamaa huwa ni mpole sana sijuii nini kimemkuta leo......itakuwa dereva alimpushi kwenye edge akawa provoked vya kutosha
Bunduki ukimiliki wewe ndio unailinda,yeye kachukua kulindia subaru yake,ushamba unamsumbua
 
Wapinzani walisema huyo ni Mkuu wa wilaya
An idiot wewe ni mchele mchele
tapatalk_1572018188239.jpeg
 
Sirro afukue kaburi la yule wa Nape ili haki itendeke pia,huyu jamaa aliyetoa bastola anaonekana mjinga na mshamba,ila wa Nape,anaonekana mjanja.
 
Kamata funga jela kabisa jinga kubwa hilo, mtu mpuuzi kama huyo anapewaje ruhusa ya kumiliki silaha? I wish i could be IGP, hiiii hiiiiii😠😡😠😠
 
Back
Top Bottom