IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

onjwayo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
1,135
2,000
Juzi kapiga picha na amiri jeshi wake mkuu Tena akiwa na Bango. Huku uswahilini pozo ruksa ukiwa na bunduki aisee
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,065
2,000
Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.

Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa chief arresting officer wa Tanzania?

Alikuwa mkosoaji wa Magu sio jamhuri,Ya Magu yashapita tunaganga yajayo hatufukui makaburi
 

santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
2,307
2,000
Kamanda umesahau Da' Mange alivyowasapoti!? Mkamuunga mkono. Akiguswa mnatukana...akaja Kigogo 14. Kumbe ipo siku Lissu pia mtamsaliti na kutaka afungwe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa Rais 'yupo mateka' na Majaliwa ndio anaongoza nchi.
Huyo siyo kamanda wa CHADEMA, ni chawa wa kawaida tu wa hapo Lumumba!
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
55,831
2,000
"Ndugu zangu mniombee"
Samia na Mange.jpg
 

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,396
2,000
Namnukuu Kamnada Siro
"Nasema Hivi Jinai huwa haiishi kwa hiyo usijidanganye leo ukadhani ipo siku jinai uliyotenda leo itaisha sahau nakueleza"
Jina ukomo wake Ni miaka 28. Baada ya hapo unaweza kwenda hata ikulu kunywa chai na mzee wa remote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom