Mwendazake aliwahalalishia trafiki rushwa kwa nini mtu asikimbilie huko?Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wakuu waandamizi wa polisi kuchunguza sababu za wahitimu wengi wa mafunzo ya polisi kuomba kupangiwa idara ya usalama barabarani na bandarini kama maeneo yao ya kazi na si maeneo mengine https://t.co/pksnTrZ9bqView attachment 2021292
Ni usumbufu tupuRidiculous; Samia hajui kwanini wanaomba kupangiwa huko?! Mtaani hatuoni polisi wanaowajibika kwa usalama wetu, lakini ukiendesha gari kila baada ya mita 200 unakutana na askari wa usalama barabarani wasiopungua watatu.
Wanahonga kuingia huko maana anajua baada ya miezi 6 ni tajiri balaaMwendazake aliwahalalishia trafiki rushwa kwa nini mtu asikimbilie huko?
Afu trafiki Kazi yao ni rahisi Sana ..Polisi itoe kozi ya jumla kwa askari polisi wote afu huko trafiki iwe ni rotational tuu.
Mtoto wa mkubwa yupi ni police?Wanapangiwa kulingana na mahitaji
Sema tu huwa Kuna lobbong kwa watoto wa wakubwakupangiwa idara hizo lakini pia kuna wanatoa rushwa kwa wakubwa ili wapangiwe huko