IGP Simon Sirro, kuzungumza na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, Oktoba 19, 2018 Saa 4:00

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, atazungumza na WAANDISHI WA HABARI siku ya Ijumaa, Oktoba 19, 2018 Saa 4:00 Kamili asubuhi, kwenye ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam.

Waandishi na Wapiga Picha wa Vyombo vya Habari Mnakaribishwa.

Asante
Ahsante kwa taarifa Comrade

*Mwendo wa MAELEKEZO kutoka JUU*
 
Zinachosha sana
IMG_20181011_123615.jpeg
 
Sirro anakuja kujaribu kudivert attention na kuwapiga biti wanasiasa kuhusu issue ya MO

All in all, state machineries know what exactly happened, but it was sponsored by rogue elements.
Ila waTanzania bwana! yani wewe ni nani unaejua kitakachosemwa siku ambayo haijafika,maana mwenye kuijua kesho ni MUNGU tu na si binadamu.mtu unaweza ukaandika tu maandishi afu ukabaki unajivuna kua umetoa comment yenye akili kumbe wengine wanakuona mpumbavu,ni fedheha
 
Back
Top Bottom