IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

Huyo bwana mdogo anatumia cheo cha babayake kujiweka juu ya sheria. Kuna siku tulikua na kikao na madalali pale kwenye bar yao madalali wakahitilafiana kwenye maslahi baada ya kuuza nyumba. Ile kujibizana akaja huyo Gody, anafoka na kupiga meza teke vinywaji vikamwagika. Tulimvaa bila kujua ni nani(madalali walikuwa wanamfahamu, sisi hatumjui). Tulimtia nakos watu wanashangilia huku wengine wakisema mtaozea jela, mtoto wa IGP huyo. Tukamwacha na kutimua. Hiyo subaru iliendeshwa kama tupo kwenye rally. Tukaipaji car wash moja na kuiacha. Huwa nacheka sana nikikumbuka jinsi tulivyoishiwa nguvu kusikia ni mtoto wa IGP jamaa tuliyekuwa pamoja alivyom push n kutimua mbio akatoweka na bodaboda. Tulikuja kukutana Kawe simu kazima
Ila uzuri kichapo mlimpa.
 
Kuna yule Gody Sirro amekushinda, kila siku kupigana na wateja wa bar yako kule Chanika naye utampeleka central?
Sirro ana Bar na Lodge Tegeta,kipindi cha JPM ambapo pombe zilipigwa marufuku mpaka saa 10,washikaji waliniita kiwanja hicho na tukala mvinyo sana!Nikawauliza vipi tukidakwa?Wakasema hapa ni kwa Sirro kwahiyo jiachie tu,huwa wateja Wa hapa hatubughudhiwi,mvinyo muda wowote tunapiga!
 
Time isnt fixed, time is an illusion, somewhere in time your already dead, lets say someone living in year 2100 right now anajua umeshakufa na kufukiwa mda mrefu sana, kinachokupa kiburi ni mda unaoishi saaahv, you feel like you have a long time to live but somewhere ahead your already dead, and so what differentiates you and death is only TIME:

- someone living in 2019 right now anamuona magu akiwa hai and likewise to everyone else
Sawa
 
Sirro ana Bar na Lodge Tegeta,kipindi cha JPM ambapo pombe zilipigwa marufuku mpaka saa 10,washikaji waliniita kiwanja hicho na tukala mvinyo sana!Nikawauliza vipi tukidakwa?Wakasema hapa ni kwa Sirro kwahiyo jiachie tu,huwa wateja Wa hapa hatubughudhiwi,mvinyo muda wowote tunapiga!
Huyu mzee ni mjinga sn
 
#Manyara
"......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro

#UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
View attachment 1965835
Kwa niaba ya jamhuri ya Tanzania napenda kuwashitaki IGP Mstaafu Omari Mahita. Yule mzee alikuwa jangili sana, aliua wtu wengi sana hapa jijini kwani alikuwa na kikundi chake cha majambazi aliokuwa anawatuma kuvamia benki na kuiba hela. IGP Mahita atafutwe kokote aliko na kufungwa maisha. Pili, watu hawa wafuatao Ridhiwani Kikwete, Kinjeketile Mwiru, nao pia wakamatwe kwa uuzaji wao madawa ya kulevya, Mwisho namshitaki SImon Sirro kwa kushindwa kukamata watu wanaoua raia wema.
 
Back
Top Bottom