GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,847
Kumbe IGP Sirro akivaa Suti hupendeza?
🚍Yanaweza kuwapo japo si kwa kiwango husika. Pia, wingi wa raslimali unaweza kuchochea mataifa au makundi kutaka kuvuruga amani ili kupata uchochoro wa kupata mali kwa bei rahisi kama ambavyo imekuwa ikiendelea nchini DRC.
Ametaja Madrasa + Sunday schools,Ila Kuna mojawapo hapo imetajwa kubalansisha mizani tu maana tatizo linajulikana liko wapiAmetaja mafunzo ya madrasa nk
Ataelekezwaje na ka nchi kama wilaya 1 ya hapa?Mimi nilichoona hapa IGP wa TZ amekwenda kuelekezwa na IGP wa Rwanda namna ya kukabiliana na ugaidi wa Nchi jirani yake ya Msumbiji. Akili nyingi inamuongoza akili ndogo.
Sirro aache kuchanganya Dini na Siasa😅😅Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amesema kufuatia ugunduzi huo watawashirikisha viongozi wa Kidini kwa ajili ya kupitia mafunzo ya Dini wanayofundishwa watoto kuanzia Chekechea, Sunday schools, Madrasa, Shule za Sekondari hadi Vyuoni kuonana pia na maaskofu na masheikh ili Kudhibiti vichocheo vya Ugaidi. Vyombo hivyo vya usalama vitataka kujua Je mafunzo wanayotoa viongozi wa dini kwa watoto na vijana ni kwa ajili ya kujenga utaifa na uzalendo au ni kwa ajili ya kubomoa taifa.
Tanzania Inajifunza inteligensia Rwanda?? 😅😅😅Huyu mzee anazidi kusisitiza kuwa Tanzania kuna Ugaidi, anajua consequence za matamshi yake?
Bila Rwanda wasingejua kitu?Huyu kada wa CCM ni aibu tupu na ukimwangalia vizuri hata akili hana , hawa kazi yao ni kupiga wapinzani, kubambikizia watu kesi na kuteka wananchi
Ataelekezwaje na ka nchi kama wilaya 1 ya hapa?
Kumbe IGP Sirro akivaa Suti hupendeza?
jf sihamiAmetaja Madrasa + Sunday schools,Ila Kuna mojawapo hapo imetajwa kubalansisha mizani tu maana tatizo linajulikana liko waoin
Ubalozi wa USA ( malekani ). Mwenye maana harisi ya ugaidi ni malekani wengine wadandiaji tu, kama ule ugaidi ambao wamalekani wanaa maana hiyo pasinge kalika hapa kona bar wala kidimbwi.. kuna kitu wanatengeza na huenda tutakipa magaidi wenyewe hawapendi dhihaka hata kidogo 😁😁😁Yapo kitambo tu mkuu,umesahau shambulio la kina Osama kwny ubalozi hapo daslam?
Mbinu za kishamba alafu ni hatarishi hizo .. kitu uki kitaja taja sana unakiita sasa kikiji watulie dawa iwaingie vizuri, wahanga namba moja huwa ni waoJinsi ya kuuwa wapinzani
Sunday schools ili kuondoa makali tu, moja kwa moja hapo ni Madrasa hakuna kingineAmetaja Madrasa + Sunday schools,Ila Kuna mojawapo hapo imetajwa kubalansisha mizani tu maana tatizo linajulikana liko waoin
Kuchambua maneno ni kuficha uhalisia..yote hayo yanafanana hata kama hayafanani,ni ukorofi wa watu fulani au imani fulani dhidi ya wengine huku wakichanganya kubeba mali,au mamlaka ya nchi,au kuchota watu wengi ktk imani yao kwa manufaa ya sadaka au mamlaka ziongezeke za kidunia dhidi ya walioshinda, yako mambo mengi...hapa Mwanza tulikuaga tunaona msikiti fulani,vitoto vidogo baada ya darasa la madrasa vinatolewa nje pale vinajipanga kwenye safu vinafundishwa mapigano/karate....sasa mtoto ukimjenga kwa namna hiyo na umleavyo ndivyo akuavyo itatokea nini baadae?Ugaidi ni neno pana . Ugaidi si sawa na uasi .. Twende kwenye chimbuko la neno Ugaidi kwanza ndio ujue kuna kitu kinalengwa au wanakitaka