IGP Said Mwema APATA AJALI MOROGORO

kila kazi ya MUNGU INADHUMUNI LAKE. BWANA AMETOA ,BWANA AMETWAA. JINA LA MUNGU LIHIMIDIWE
kuna dhumuni gani katika kuua? Kwa nini Mungu amesema sisi tusiue lakini yeye akiua ana dhumuni, dhumuni gani hilo, litaje.
 
Mwema(4)(1).jpg

Mkuu wa jeshi la polisi Igp Said Mwema amenusurika kifo baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Dodoma, kupata ajali eneo la Mkundi ndani ya Manispaa ya Morogoro jana majira ya saa 12 jioni, hata hivyo katika tukio hilo hakuna aliyeumia na walibadilisha gari na kuendelea na safari, kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia blog hii JUMA MTANDA

Tutampigia Kamanda Mpinga aje awakamate kwa kuendesha gari kwa kasi.
 
wamefatilia kama dereva wake anayo leseni, kama ajali imetokana na ubovu wa gali basi aandikiwe notification ya kutumia gali bovu.
 
kuna dhumuni gani katika kuua? Kwa nini Mungu amesema sisi tusiue lakini yeye akiua ana dhumuni, dhumuni gani hilo, litaje.
sisi sote tuna ukomo wa maisha hapa duniani kila mmojawetu atakufa kwa ahadi yake. Na yote haya yamesababishwa na makosa yaliyofanywa na wazee wetu Adam na Hawa, ndipo adhabu ya kifo ilipotolewa hivyo baada ya ukomo wa maisha ya duniani kuna ahadi ya maisha ya milele yenye raha kwa wateule waliotenda mema. na wale waovu moto wa milele. MUNGU umtwaa binadamu kwa ahadi yake.akiwa tayari amefikia ukomo wa maisha yake hapa duniani.
 
sisi sote tuna ukomo wa maisha hapa duniani kila mmojawetu atakufa kwa ahadi yake... Na yote haya yamesababishwa na makosa yaliyofanywa na wazee wetu Adam na Hawa, ndipo adhabu ya kifo ilipotolewa hivyo baada ya ukomo wa maisha ya duniani kuna ahadi ya maisha ya milele yenye raha kwa wateule waliotenda mema. na wale waovu moto wa milele. MUNGU umtwaa binadamu kwa ahadi yake.akiwa tayari amefikia ukomo wa maisha yake hapa duniani.
Kwa nini dhambi afanye Adam halafu adhabu ya kifo wapewe wengine? Huyu Mungu Mungu gani kilaza namna hiyo haelewi hata the most basic fundaments za justice anashindwa hata na mfumo wa justice hata wa Tanzania? Na hao wateule waliotenda mema kwa nini na wao waadhibiwe kifo kabla ya kwenda "kula raha za milele," what's the point?

Lakini kubwa zaidi, ni kwa nini Mungu "anapokutwaa," anapokuua, kwa nini hawezi kukuua kwa amani, labda usingizini tuseme, mpaka akupangie schedule ya kifo cha kukuchomwa kwenye utosi na chuma lililochomoka kwa kasi kwenye lori la tani 18? Kwa nini? Kwa nini Mungu anaua kikatili kama wanajeshi wa Taliban, Mungu gani hana huruma kama mnyama?
 
adam alipewa adhabu yy na uzao wake. dunia imeharibiwa na mwovu shetani.mambo yote mabaya ktk dunia hii, mpaka hivyo vifo vya kutisha unavyovielezea mwasisi wake ni shetani, ili apate nafasi ya kuwarubuni wanadamu wengine kuwa MUNGU wenu mnayemwabudu hawasaidii njooni kwangu.kwani kwa MUNGU kila mwanadamu anaahadi yake ya maisha ya hapa duniani MUNGU huitwaa roho, shetani uharibu mwili ili apate wafuasi wanaomwasi na kukosoa na kuitilia shaka kazi za MUNGU huku wakisifia matendo ya wanadamu.
 
adam alipewa adhabu yy na uzao wake.
Adam na uzao wake, kwa kosa la Adam?

Zamani zile ,sijui siku hizi, ilikuwa kipira kikipita uswahilini, yani polisi wanakamata watu kwa uzembe na uzururaji na wizi na mengineyo, ilikuwa wasipomkuta mtuhumiwa wanambeba baba yako au mama yako wakasaidie polisi. Mfumo mbovu wa kangaroo justice, lakini angalau walikuwa hawashtakiwi, wanaambiwa wasaidie polisi. Sasa Mungu yeye ina maana his sense of justice is worse than even criminal system of Tanzania. How come? Hapa Tanzania huwezi kuhukumiwa kwa sababu baba yako ameiba hela za EPA, unaweza? Sasa iweje Mungu ndio awe ha make sense ahukumu kizazi kizima cha Adam kwa kosa la Adam?

dunia imeharibiwa na mwovu shetani.mambo yote mabaya ktk dunia hii, mpaka hivyo vifo vya kutisha unavyovielezea mwasisi wake ni shetani,
Okay, kwa nini Mungu anakubali shetani alete hayo mabaya katika dunia yake, Mungu gani powerless against his enemy? Yani atese weeeee halafu siku ya mwisho ndio achomwe moto, whats' the point? Kama anamuweza kwa nini anamwachia ?
 
Adam na uzao wake, kwa kosa la Adam?

Zamani zile ,sijui siku hizi, ilikuwa kipira kikipita uswahilini, yani polisi wanakamata watu kwa uzembe na uzururaji na wizi na mengineyo, ilikuwa wasipomkuta mtuhumiwa wanambeba baba yako au mama yako wakasaidie polisi. Mfumo mbovu wa kangaroo justice, lakini angalau walikuwa hawashtakiwi, wanaambiwa wasaidie polisi. Sasa Mungu yeye ina maana his sense of justice is worse than even criminal system of Tanzania. How come? Hapa Tanzania huwezi kuhukumiwa kwa sababu baba yako ameiba hela za EPA, unaweza? Sasa iweje Mungu ndio awe ha make sense ahukumu kizazi kizima cha Adam kwa kosa la Adam?

Okay, kwa nini Mungu anakubali shetani alete hayo mabaya katika dunia yake, Mungu gani powerless against his enemy? Yani atese weeeee halafu siku ya mwisho ndio achomwe moto, whats' the point? Kama anamuweza kwa nini anamwachia ?
shetani alikuwa akiishi mbinguni akiwa moja ya malaika watiifu wa MUNGU , lkn kwa kiburi alimkosea MUNGU kisa ni kirefu lkn kinamuhusisha mwanadamu. kundi kubwa la malaika nalo liliasi kwa kumfuata shetani ambaye alitupwa duniani. MUNGU ameweka demokrasia kwa viumbe wake ,kuna masharti na sheria alizoweka ili uchague MOTO au KHERI hulazimishwi. INCHARGE wa kuongoza kwenye moto ni shetani, kwenye kheri ni YESU .kazi ya shetani ni ulaghai na mambo yote mabaya yanayomfika mwanadamu lkn hana uwezo wa kugusa roho yako. mwanadamu ameumbwa ili aishi milele lkn baada ya kosa lile la aden ataishi milele ktk roho akiwa motoni au kwenye raha ya milele.
 
Unaweza kuta kaajali kadogo sana labda wamechunana bumper tu ndio habari inakuja kuwa Mtu kanusurika Kufa.....
 
Back
Top Bottom