IGP Mwema kuna kila sababu ya kutueleze Watanzania kama Jeshi la polisi liko hivi?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IGP Mwema kuna kila sababu ya kutueleze Watanzania kama Jeshi la polisi liko hivi??????

Discussion in 'Jamii Photos' started by cement, Sep 20, 2012.

 1. cement

  cement JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unyama bado unaendelea anaepigwa kijana ambaye ni mwanafunzi kulikuwa na sababu gani ya polisi kutumia nguvu namna hii


  Kikwete na Mwema mtueleze watanzania nn kinaendelea katika Jeshi letu hasa polisi sababu ya matatizo haya hata kipofu anaona ni tatizo TUMECHOKAAAAAAAAAAAAAAAA polisi.jpg
   
 2. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ona wanavyomshindilia mabuti akifa wanaipiga maiti risasi halafu wanasema wameua jambazi yanamwisho haya.
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  mleta mada kuwa little professional. Ni lini, ni wapi, kulikuwa na nini ni baadhi ya mambo yanayotakiwa, sio kutoa matamko tu. Inawezekana picha hiyo ni wakati wa mahita, hatujui, au wa mahundi hatujui. fafanua taarifa yako kutuweka sawa.
   
 4. D

  Daniel poul Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada kwa kweli hajafafanua vyakutosha
   
Loading...